@setty_marketing: NEXT TIME LAZIMA NIFIKE HADI MTAANI KWAKO ILA LEO NIMETEMBELEA MAENEO BAADHI KAMA, BUSWELU, NYEGEZI, KISESA, BWIRU, NERA, BUSISI, NYAMANORO, CITY CENTER.... NK . . . . #fypシ゚viral🖤tiktok☆♡🦋 #fyppppppppppppppppppppppp #mwanzatiktok #kandayaziwa #Vlog
Setty_Marketing🤳
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 06:38:45 GMT
Music
Download
Comments
tembelea mpaka coco beach ya mwanza yani browelis nilikua napapenda hatari , nimemis sana igogo kwa magele watu wangu wa movie
2026-06-26 11:38:22
1
Tee_store :
Finally nipo Mwanza🥰
2026-06-24 06:50:43
2
mrs jr :
nyamalango🥰🥰
2026-06-26 16:35:44
2
Editha ashery :
nipo dar nimekumbuka ukerewe
2026-06-24 11:54:45
2
Samuel :
Nimepamiss sana nyumbani kwasasa nipo Dar
2026-06-26 06:24:25
2
Kelvin thug 🖕 :
unaumiza sana kaka kwenye content zako🔥🔥🔥🔥
2026-06-24 08:50:58
2
Tamaduni Street :
unanikumbusha mitaa yangu pamoja sana 😢 🙏 😞 bless wanangu niko south africa 🇿🇦
2026-06-25 21:17:46
1
Germanshephard..🤜🤛 :
nyambi
2026-06-25 15:04:21
1
samwel james :
mwanza pazuri
2026-06-25 20:32:22
1
Ms.marriy :
Waoooo Kisesa🥰nmepamiss sana nymbn 😒
2026-06-24 09:35:41
2
kabuludeus :
just one day visit united kingdom famous ukerewe its .my home land
2026-06-24 13:57:25
1
MWANZA TZ :
dah missing my home
2026-06-24 09:59:05
2
Nico daniel :
hakika nime pamiss
2026-06-25 15:42:29
1
WANG'AMBO BRAND203 :
mbn miaka 100
2026-06-25 07:57:31
1
kelvin sele sylivesta :
me kwa sas niko dsm, nmepamic sana nymbn pale nyakato national naomba moja pls🙏🙏
2026-06-24 08:29:45
1
kaskazini🇪🇹🇰🇪 :
kisauni ni wapi mwanza?
2026-06-25 11:36:38
1
Tamaduni Street :
napakumbuka sana ganna nimepamissi pasiasi niko Bari niko south africa 🇿🇦 🙏 😢
2026-06-25 21:16:03
1
Germanshephard..🤜🤛 :
nyampande
2026-06-25 15:05:42
1
Miss _ ney :
wiki lililopita nilikuwa hapo aise nilienjoy sana🥰
2026-06-24 07:01:54
4
jayloh :
usagara
2026-06-24 20:20:17
1
naivert @⛎ :
mganza nimepaona
2026-06-24 17:17:49
1
Cute Letishaaa :
Mm wa mwanza nimezaliwa Pamba mitimirefu 😊😊
2026-06-27 07:24:56
0
Ibrahim hamad :
igoma
2026-06-28 08:18:15
0
Francis kalumna :
mwanza tupo
2026-06-27 19:17:52
0
kennlemic :
Welcome home everyone
2026-06-27 06:26:01
0
To see more videos from user @setty_marketing, please go to the Tikwm
homepage.