@mariwahardware: 🔧 Socket moja... kazi nyingi! Uchoke kubeba seti kubwa ya socket kwa kila size? Universal Socket Wrench hujirekebisha yenyewe kushika bolts na nuts za maumbo na sizes mbalimbali kwa haraka. ✅ Inafaa kwa sizes tofauti ✅ Huokoa muda na nafasi ✅ Rahisi kutumia nyumbani au workshop ✅ Msaidizi bora kwa mafundi na DIY lovers Punguza usumbufu wa kubadilisha socket kila mara na ufanye kazi kwa ufanisi zaidi! ⚡ #universalsocket #hardwaretools