@taarifa_24: Makamu Mwenyekiti wa @chadematzofficial Zanzibar Said Mzee Said amehoji ukimya wa Jeshi la Polisi nchini na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Abubakari Bin Zuberi, juu ya kauli za Sheikh Mwaipopo kuwa wale watakaoandamana julai saba watatahiriwa bila ganzi na kikundi chake cha 'Mbwa Mwitu'. Said amehoji akiwa mkoani Mbeya leo juni 23, ,2026 huku akitoa wito kwa Jeshi la Polisi, Muft wa Tanzania na Shura ya Maimamu kutoa tamko. #taarifa_24

Taarifa24
Taarifa24
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 24 June 2026 07:19:15 GMT
91682
3036
66
76

Music

Download

Comments

userzennnarashid360
Zenna rashid 360 :
kweli sema baba
2026-06-24 08:21:02
29
kapuur2
shakt kapuur :
mwaipopo amekosea saana
2026-06-24 13:31:36
8
namnyaki0
Namnyaki :
Haya ndo tunaelewa sasa!
2026-06-24 17:49:55
3
bongempole
Bonge mpole💥 :
2026-06-24 16:32:41
1
user7907421881251
user7907421881251 :
kweli kabisa baba asema vibaya
2026-06-24 12:48:47
5
aidanistgeorge417
Aidanist George :
2026-06-24 10:40:38
5
jenifa6923
Jenifa :
Asante sana Baba
2026-06-24 11:45:10
5
mjuni.matibu
Mjuni Matibu :
kwel baba
2026-06-24 11:19:43
6
vitus.mapunda
Vitus Mapunda :
kweli kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-24 10:01:15
6
lauwojulius
AJ 488330 :
Asante nime jua sasa
2026-06-24 08:29:04
7
gracejoseph3338
Grace Joseph :
tunashangaa sana
2026-06-24 08:42:20
6
avitus.albin
Avitus Albin :
Bravo 👏👏👏👏👏🌹💞💞💞💞💞💞💞🌹🌹🌹🌹💐💐💐💐
2026-06-24 09:20:51
4
user62693106616184
kidula :
sema baba
2026-06-24 18:27:22
0
ntuzuboyz
Ntuzuboy :
Asante kwakutujuza
2026-06-24 18:43:55
0
boss.kuvi
Boss Kuvi :
huujui
2026-06-24 18:05:12
0
user47266941046922
user47266941046922 :
Amina
2026-06-24 17:37:47
0
salumnassor210
salumnassor210 :
nimejua leo
2026-06-24 09:29:06
4
salumupotalukolom
salumupotalukolom :
Jambo gan
2026-06-24 11:43:45
1
aclaus.one.tz
aclaus one mtz :
nikikuta mikutano ya CHADEMA tu lazima ni like na ku comment
2026-06-24 11:14:16
22
nyoyamtoto95344
nyoya 🪶 Mtoto :
kama unampinga mwaipopo gonga like 👍
2026-06-24 14:33:54
8
chiristina.nyarus
Chiristina Nyarusi :
mimi naamini viongozi wa nchi hii hawana hata uoga mbele za mungu ndiyo maana kuna mtu mmoja wa ccm alisema mungu atake asitake ccm lazima itashinda.
2026-06-24 08:24:16
12
hakimu.wa.geto
Hakimu wa geto 🔥 :
akili kubwa ✌🔥🔥🔥
2026-06-24 09:19:38
5
buruhanathumani
Buruhan athumani :
kweli
2026-06-24 07:50:22
7
To see more videos from user @taarifa_24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About