@mh_komba:

Jerry John Komba
Jerry John Komba
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 07:20:24 GMT
175697
6774
311
247

Music

Download

Comments

gabrielnyasilu
GM BARBERSHOP AND SAUNA :
aisee hili jambo limepotoshwa Sana kumbe Mbunge alikuwa na maana nzuri Sana umefanya jambo la maana Sana maana wantanzania wengi hatuna Muda wa kufuatilia jambo mwanzo mpaka mwisho
2026-06-24 15:08:25
107
peter_enterprises
Peter_enterprises :
kumbe mzee alikuwa na maana nzuri tu
2026-06-24 18:08:59
93
patricque.mlelema7
Patrick Mlelema :
big up bro
2026-06-24 16:13:21
1
mkali.ukwaju8
Mkali Ukwaju :
Hawa chadema some times ni samjo
2026-06-24 07:37:00
15
innocentmesutozil
Innocent Mesut Ozil :
mbona Kama Ww Ndo Fala
2026-06-24 17:58:09
42
abou.enzo.08
Abou Enzo 08⚽ :
mzee kaongea point sana ila hechee mngese sanaaa
2026-06-24 08:29:43
72
christopher.hezro
Christopher Hezron :
kaongea point sana sema wamemnukuu vibayaa
2026-06-24 17:02:41
29
markogwaltu
markogwaltu :
Mbunge alikuwa sahihi, Asante kwa VAR maana kulikuwa na upotoshaji
2026-06-24 20:06:47
24
alfredaziweljr
ALFREDAZIWEL.JR :
hii video imeeditiwa msimuamini huyu fala
2026-06-24 18:54:21
11
joyceladslaus
joyceladslaus :
dah hata mimi nilikua sijaelewa afadhali umenielewesha.
2026-06-24 16:15:09
14
user35174222220916
[email protected] :
kaka mm sijui siasa ila hapa kwako naelewa
2026-06-24 12:37:00
18
chris_mokhad.b
MMM :
huyu chiz kabisaaaa
2026-06-24 14:53:49
8
abubakary.mussa
Abubakary Mussa :
mbunge ameongea good point
2026-06-24 11:02:22
16
dddd.cent
Dd. cent :
bro mungu ni mwema kila nyakati ndo maana ukawepo ili wengine wafaidi
2026-06-24 08:14:44
17
stanbrand47
stan brand :
mbona umekata video yake
2026-06-24 17:39:07
7
baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Mimi nikiona jambo sijaelewa nakuja kwako tu najua nitaelewa vizuri...shukran san brother.
2026-06-24 09:58:30
11
karimnamata1
karimnamata :
kumbe mzee aliongea fact sana
2026-06-25 07:43:52
7
balu_trendyfashion
balu_trendyfashion :
Geneous🙌🙌🙌🙌
2026-06-24 18:33:09
2
raheem4003
Raheem :
hapo ndio ninapomchukia mwanasiasa, mzee hajaongea vibaya
2026-06-24 07:58:01
10
fiestar1
shoulil :
heche kadanganya
2026-06-25 08:57:20
1
salu.sefu
Salu Sefu :
kumbe mzee alikuwa fact2
2026-06-25 08:48:26
2
mgusijo
⭐⭐ Freedom :
Chadema Wana mihemko sana
2026-06-24 17:14:22
3
allanvamassa
💙 CHELSEA IN BLOOD 💙 :
mavi wew
2026-06-25 05:47:09
2
makame255
Champz🏀✅ :
VAR
2026-06-25 04:36:11
2
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰maua yako
2026-06-24 20:00:02
2
To see more videos from user @mh_komba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About