@chomozatv: Mtu wa Mungu jifunze kuisemesha siku yako kuanzia asubuhi, Ili lile ambalo unatamani liwe kwenye maisha yako litimie. Msikilize Mtumishi wa Mungu Mwl @cdmwakasegeofficial ujifunze jambo kubwa kupitia ujumbe huu. Kama umemuelewa vizuri Mwl @cdmwakasegeofficial na umejifunza jambo weka comment yako hapa chini 👇 ( ✍️ chomozanews. ) #2026angaza #2026iwenurukwako