@pika.na.mimi: Chapati laini, tamu na za kuvutia. . Mashallah 🤩 . #ChapatiTamu #PikaNaMimi #JikoniKwangu #MapenziYaUpishi #LadhaYaNyumbani

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 07:25:00 GMT
53127
1690
34
165

Music

Download

Comments

user44202830024987
fina@1234 :
I don't know kwnn zangu zinakua ngum
2026-06-24 11:25:56
6
b.r.i.a.n_ogoma
Brianbrayogoma :
Nice
2026-06-26 06:49:27
0
nawalshop11
mama Nawal♥️ :
Zangu aziwi ngumu lkn zinakua nzito snaaa
2026-06-25 07:45:45
0
mrsmohamd
Mrsmohamed :
kuhusu sio ndio tunaojifunza na hatuna mashine ndo tutaxipataa kma hvoo
2026-06-24 09:16:33
0
haniabe488
huny :
sema n jina unaongeza nn dada
2026-06-27 04:35:59
0
mo_hd2960
user700904718179 :
unapatikana wp?
2026-06-25 13:12:53
0
letician.lenny
Letician Lenny :
Kama nimeona mtindi
2026-06-27 17:32:30
0
user6221317996724
Salminaryam :
Mbona mm cjui kupika chapat
2026-06-25 12:27:41
0
shallettatutatu
Shallettatu Tatu :
ni maji moto hayo
2026-06-25 12:13:02
0
www.blackmamba7
www.blacklist.com :
hatujui waongeza nini
2026-06-26 16:33:42
0
winnie7652
Winnie ✨💫 :
procedure jameni dada
2026-06-25 15:59:34
0
abujoho1
Abu Harry :
2026-06-25 04:30:19
0
lucypinky65
lucypinky🥰❣️🫰 :
mchanganyiko ni nn please
2026-06-26 21:32:11
0
09876bgjd
ABDUL :
Hilo andazi sio chapati
2026-06-26 07:19:45
0
mgaya6859
mgaya :
upishi rahisi sana huo jamani mnalalamika kwanini
2026-06-25 08:24:59
0
lucreciamhando
Lucrecia88 :
kilo moja hiyo?
2026-06-24 08:25:23
0
wartham8
wartham :
umeweka mtindi au
2026-06-24 10:39:39
0
hawakimoto3
hawakimoto :
huo mzito ni mtindi?
2026-06-24 13:46:39
1
user8690685614454
cute lips 👄🌹 :
mwanetu mposh kucha hz Bora ungevaa grops
2026-06-24 16:03:20
1
summys_henna
summys_heena :
Naomba kuuliza, unga vikombe tatu ndio zimetoka chapati nne?
2026-06-25 19:32:04
0
fatumaalio156
fatumaalio156 :
😂😂😂
2026-06-24 18:03:13
0
jojoh_70
JOYVERA COLLECTION 01 :
🥰🥰🥰
2026-06-24 17:47:47
0
azizajuma947
azizajuma947 :
🥰🥰🥰
2026-06-25 06:41:03
0
rrsslly2
rrsslly2 :
🥰🥰🥰
2026-06-24 17:05:20
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About