@babachanja01:

Baba_Chanja
Baba_Chanja
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 07:54:40 GMT
49423
1405
26
31

Music

Download

Comments

user15784654348332
eddy jombe :
Hivi CAG hana kiapo?
2026-06-24 12:38:32
4
isaanjiwa
issanjiwa :
Mimi napenda ulisema ukweli na viongozi wetu hawataki kuambiwa ukweli Allah akupe kheri
2026-06-24 10:01:33
12
che.guevara99592
Che Guevara :
hunabaya professor, Mungu akupekheri inshaallah
2026-06-24 12:20:22
8
williamwakibara
William Wakibara :
mzee Bado unaota cheo mpka Leo isje ikawa uliwahiwa nn mzee wangu tukio la miaka mingi Ivo mpka Leo unalkumbuka hujasahau tu mpka leo
2026-06-24 13:45:24
0
brotherhasao
HASAO :
full interview iko wap
2026-06-24 09:17:03
2
user533820457461
Desdery Luburi@ Baba 5Ds :
daa
2026-06-24 11:45:41
2
babayuu462
Baba Yuu :
@pary2
2026-06-24 13:24:56
0
hardtaget7
Hardtaget :
Magu alikuwa mtu sana ila aliongoza kihisia na majivuno mno kinaya zaidi hakufahamu aliowaamini na kuwapenda ni wabaya wake. Huyu mtu alikuwa mtumuhimu sana kuelekea kile alichokuwa anataka. Uongozi ni zaidi ya ya alichokifanya. Kama ni shimo alijichimbia mwenyewe mr president
2026-06-24 11:24:07
8
jumakapilima
Jimmy :
Achana na vyeo vya kidunia
2026-06-24 11:42:41
3
luyah539
luyahhhh✌ :
Be blessed always Mr Assad 💯💓
2026-06-24 13:17:37
1
leexb_12
LIX :
CAG🇹🇿🫡
2026-06-24 10:29:55
4
mussa_sajeni
MOZE :
afu wote washaenda daaah
2026-06-24 10:31:21
3
To see more videos from user @babachanja01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About