@podlay_gr: "Puto limepasuka kwa bahati mbaya, lakini mshangazi amegoma kuondoka kinyonge!" 🤫🎈🔥 Show ya Pop the Balloon ya leo imeleta kioja cha mwaka baada ya kutokea sarakasi zilizowaacha watu hoi kwa vicheko! Yule limshangazi tajiri kutoka Kusini, kwa mzuka au kuchanganyikiwa, alijikuta akikosea na kupasua puto la yule kijana kwa bahati mbaya kabisa. Sasa sekeseke likaanza hapo! Mama wa Kikonde akagoma kabisa kuondoka stejini, akaanza kupambana kwa nguvu zote na waandaji wa show akitaka apewe puto jingine. Alipiga kelele akisema: "Limepasuka kwa bahati mbaya mimi bado namtaka kijana wangu!" Baada ya vurugu na msisitizo mkubwa, waandaji wakabidi wamrejeshee puto jingine na hali ikawa shwari. 👑💰 Lakini plot twist kubwa imekuja hapa: Kijana alipoendelea mbele kwenda kwa mishangazi mingine iliyobaki, akawashushia dhoruba nyingine. Akawaambia live: "Mimi tayari mshangazi wa kwanza ameshanikubali na nimeshazisikia data zake za kipato, kwa hiyo ninyi wengine siwataki kabisa!" 🏃‍♂️💨💸 Hapa ndio utajua kuwa kijana ameshapata chombo chake cha Kusini na hataki usumbufu wa ziada! Je, unadhani huyu mshangazi alifanya makusudi kupasua ili alete drama, na je, kijana amefanya vizuri kuwa mwaminifu kwa mshangazi wa kwanza? Dondosha comment yako hapa chini, hii episode imekubamba kwa asilimia ngapi? 👇#poptheballoon #tanzania #podedits #fyp #creatorsearchinsights #viral #mbosso

PODEDITS
PODEDITS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 08:34:22 GMT
326371
19521
117
788

Music

Download

Comments

user6819974444094
violeth vio🥰💋 :
nawaomben sana jmn huyu mama muwemnampost kila siku ikiwezekana maana amekuwa furaha yangu🤣🤣😂🥰🙌🙏
2026-06-24 08:55:25
101
soloompendaamani5
Bazuu Yule mpole :
bahati mbaya leteni balloon 🎈🎈 pia nakupenda
2026-06-25 17:45:22
6
255tzz
Queendesert :
Mleteeniiii🤩🤩
2026-06-24 16:08:53
18
user95040523321138
Jaco the aspirant :
huyu mama ni mcheshi sana
2026-06-24 13:49:37
79
frida.kihombo
🌹💐f.k🔥 :
30/30
2026-06-25 13:36:05
2
mulhati6
💓💓💓💓💓 :
😂😂😂 namkubal dada huyu🥰🥰
2026-06-24 09:47:00
29
amostz1
Amos :
she is funny guy 🤣🤣🤣
2026-06-24 14:53:48
14
stacyjebet
C.H.E.B.E.T🤑💫 :
15/15
2026-06-25 13:50:17
1
faidha305
faidha :
2026-06-25 16:15:07
0
ukhtykhalima4
❤🦋Halimah🦋❤ :
ayaaaaah😅
2026-06-24 14:53:08
4
tajiri.mtot
sunga boy :
2026-06-24 18:04:24
0
fezazakwani
femme naturel :
la suite
2026-06-24 18:24:49
1
patiikips1
Arap Baras :
akili mtu wangu
2026-06-25 10:40:50
0
lesahaa1
lesahaa :
2026-06-25 03:57:47
0
radhia5534
Radhia :
2026-06-25 05:40:54
0
lalay.queen
lalay queen :
Next
2026-06-25 14:03:24
0
betty0793alvaro
Alvaro Betty :
next
2026-06-25 09:35:32
1
To see more videos from user @podlay_gr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About