@makaziborabuilders: RAMANI | UJENZI | FINISHING Karibu Makazi Bora Builders kwa huduma bora za ujenzi wa nyumba kuanzia hatua ya ramani, ujenzi mpaka finishing za kisasa na za viwango vya juu. • Ramani za kisasa na zenye ubunifu • Ujenzi wa nyumba za makazi na biashara • Finishing za kuvutia na zenye ubora wa hali ya juu Jenga nasi kwa uhakika, ubora na bei nafuu. Makazi Bora Builder, Tunageuza ndoto yako kuwa makazi bora. 📞 Wasiliana nasi 0793622492 leo kwa maelezo zaidi na kuanza safari ya nyumba yako ya ndoto. #MakaziBoraBuilders #Ujenzi #Ramani #Finishing #makazibora