@samsondulla2: Kuna kitu cha kujifunza hapa😄😄✌️

Samsondulla
Samsondulla
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 09:08:44 GMT
161955
6049
719
515

Music

Download

Comments

damarisbujwiga1
Nyabu kidoti❤️ :
MUNGU HUYU ANAESOMA KOMENT HII AKIKOSA LEO FUNGU BAS KESHO MPATIE ZAIDI👏🏻👏🏻
2026-06-29 18:21:26
273
cute_vinna
cute_vinna :
yan huyo ni mm kabisa namng'ang'ania mwanaume na najua hanipendi na hato niowa lakini nimo2🥺😭😭😭
2026-06-29 08:38:08
74
mpanya.1
MPANYA TZ :
hivi ndivyo ambavyo mungu anakulinda na maadui
2026-06-28 09:50:39
132
sansum.water
SANSUM WATER :
ukisikia kisicho ridhiki akiliki nd hii
2026-06-29 17:23:29
34
amanielomary4
omary miraj :
ana makengeza😂😂
2026-06-28 19:48:06
7
user5620245421031
Mr nyanya :
ukitoka kutafuta usisahau kumuomba Mungu akurudishe salama🙏
2026-07-01 08:55:40
9
linda53628
linda :
kisicho riziki ,hakiliki♥️
2026-06-28 12:29:32
12
user1245y_
Miss mam❤️ :
Ujuwe Mungu nd kila kit kweny maisha yetu🥰
2026-06-29 07:03:40
5
aisherfaraj
Aisherfaraj :
using'ang'anie sehemu usiyothaminiwa 😥
2026-06-29 07:47:28
7
shakilasalehe593
mama future 💔 :
mimi na pesa jinsi tunavyosakana ☺️
2026-06-28 12:04:17
6
user5639466119538
user5639466119538 :
tumuombe sana mungu ayo ndo maisha halis ya wapambnaj
2026-06-28 11:20:01
17
plan.b.notable
plan b notable :
Nipenda the way creator anavojibu sms za kila mtu ❤️💖🙏
2026-07-01 05:43:55
8
bin5448
limbukeni Hana Siri :
Hii ndo lile neno kisicho ridhiki hakiliki
2026-06-28 12:09:58
7
sily_kassimu
Sily_Kassimu :
kisicho Rizki hakiliki 🥺
2026-06-29 07:21:05
7
malikiarecho
malikiarecho :
Kila mda adui anapojarb kukukaria kukudhuru ndivyo MUNGU anavyo zidi kukulinda na kukupa hatua nyingine zaidi
2026-06-29 09:34:27
7
smartesmarte7
Mr Evance :
kisicho riziki hakiliki ndo hii🫵🫵
2026-06-29 07:56:08
5
isihaqagmailcom
إسحاق ❤️‍🔥⚽🌃💸 :
kisicho riziki hakiliki
2026-06-28 08:58:46
5
nkyale47
Janeth: Mom:J😘💋 :
Kilichopangwa na Mungu kamwe huwezi kukipangua🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-28 21:06:53
7
vigor.jr
vigor jr :
😢😢😢 dah ama kwel kisicho ridhiki!!
2026-06-29 10:59:19
7
user8370651610330
mwingwa official :
huyu mdudu nae ameenda kutafuta kwa ajili ya watoto wake nadhan kma alimuomba mungu akatafute salama na arudi salama mungu amejibu maombi yake..
2026-06-29 15:01:45
7
user1688826030798
junior49 :
who is cameraman🤣😂
2026-08-18 09:57:33
1
abasibakariomari
Abasi Bakari Omari :
kisicho riziki......
2026-07-10 15:31:01
1
user123beam
Beam10 official🔹 :
Ndo matatzo yang yanavyoniandama kila siku 🙌
2026-07-26 18:57:11
2
elizabethmeshack642
💥💖 Elizabeth💫 Lizzy 💥💖💖 :
😅😅😅 jamooon
2026-07-01 10:02:30
2
To see more videos from user @samsondulla2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About