@dr.ibra31: VYAKULA VINAVYO ONGEZA GES TUMBONI BILA WEW KUJUA Unajikuta tumbo linajaa, linavimba au unapiga mabofu mara kwa mara? Inawezekana kabisa chanzo ni vyakula unavyokula kila siku bila kujua 👇 1. Maharage na kunde (dengu, choroko, mbaazi) Husababisha gesi kutokana na sukari ngumu kumeng’enywa tumboni. 2. Kabichi, broccoli na cauliflower Zina kemikali za sulfur zinazochochea gesi na harufu mbaya tumboni. 3. Maziwa na bidhaa zake Kama una tatizo la kutovumilia lactose, huongeza gesi na kujaa tumbo. 4. Soda na vinywaji vya gesi Unaingiza gesi moja kwa moja tumboni bila kujua. 5. Matunda kama tofaha, peari na tikiti maji Fructose nyingi husababisha gesi kwa baadhi ya watu. 6. Vyakula vya kukaanga na mafuta mengi Huchelewesha mmeng’enyo na kusababisha gesi kuongezeka. 7. Vyakula vya unga (mkate, chapati, maandazi) Kwa baadhi ya watu, husababisha gesi kutokana na usagaji mgumu. 8. Sukari mbadala (chewing gum, pipi) Huchochea gesi na wakati mwingine kuharisha. 9. Kula haraka au kuongea sana wakati wa kula Unaingiza hewa tumboni bila kujua. USIPUUZE DALILI HIZI! Gesi tumboni zinaweza kuonekana ndogo, lakini zikizidi zinaathiri maisha yako kila siku. 👉 Kama unasumbuliwa na gesi tumboni mara kwa mara,nitumie ujumbe whatsp (+255798588948) andika neno GESI au wasiliana kupitia mawasiliano yaliyopo apo ☝️nikusaidie kwa tiba lishe itakayomaliza tatizo kabisa.#GesiTumboni#foryoupage❤️❤️ #TiktokViral#Fyppppppppppppppppppp#ghanatiktokers🇬🇭🇬🇭🇬🇭
AFYA KWANZA +255798588948
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 09:13:46 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.ibra31, please go to the Tikwm
homepage.