@dar_360_digital: ALIYEWAHI KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AMEWEKA HADHARANI SIRI ZOTE ZA VIONGOZI WA CHADEMA KISA KIKIWA NI MAANDAMANO YA JULAI 7, 2026.

Dar 360 Digital
Dar 360 Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 09:50:50 GMT
359505
6275
242
240

Music

Download

Comments

neemamsemwa2
neemamsemwa261 :
mungu ikikupendeza ,Anza na huyu kiumbe, anaeongea Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-24 19:01:09
80
hegedaa.jr
HEGEDAA JR :
njaa mbaya sana
2026-06-25 00:10:32
33
dante.cool61
Dante cool :
Huo si hoja ya msingi, mzee. Tunachotaka ni haki, amani na uwajibikaji. Maendeleo ya nchi ni muhimu, lakini si suala unalolizungumzia sasa. Taifa linaweza kupata maendeleo ya kweli pale ambapo haki na amani vinatawala.
2026-06-24 19:46:57
22
mlinde.malege
mlinde mboje :
sasa apo unaongelea nini
2026-06-25 04:40:10
15
chilipamwabo
UNJANI 🇿🇦 :
kwa hiyo
2026-06-27 13:11:20
3
user2094629110399
user2094629110399 :
Mimi kama nilipona tr29 namuomba Mungu niwe mtihifu kwa viongozi
2026-06-25 08:39:26
24
shabankarumie4
shabankarumie4 :
point yako ni nini.
2026-06-25 03:48:22
27
040858affww
040858 :
MAMBO YA FAMILIA SISI YANATUHUSU NINI
2026-06-25 13:20:19
12
john.matogoro09
John Matogoro :
mungu chukua na huyo
2026-06-25 12:48:02
11
robertjoachim1
Roby :
Mimi nashangaa sanaaa kuona hizi taarifa za kitoto
2026-06-25 09:48:45
12
user8872292115306
user8872292115306 :
mkuu huna baya hakukubali kwa sana tu
2026-06-24 11:59:24
11
belindakessy
ladybelikessy,🌟 :
Tukusaidiaje
2026-06-28 09:25:39
4
minza_p
Minza-P :
Sasa ana Manisha Nini
2026-06-25 13:12:42
7
kissah_255
KNM :
kweli kabisa
2026-06-25 07:05:20
7
hamadifredynandox
hamadi classic fashion :
iyo xio hoja ya mxingi Mzee ... mungu alaani uwajibikaji wako
2026-06-26 16:22:47
6
sophia.ally82
Sophia Ally :
mungu tusaidiye
2026-06-27 14:19:55
2
user51021876910735
mnyawez classc homeboy🦚🎄🙏💖 :
mungu ikikupendeza chukua ili zwazwa likapumzishe uchawa 🙏🙏🙏🙏
2026-06-26 06:12:58
6
sarafina1645
Sarafina :
Ni Heche
2026-06-27 09:37:22
1
nankule.mohamed.m
Nankule mohamed Mkumba :
wasiopenda maandamano kama me gonga like hapa
2026-06-25 07:34:03
67
user7707868173865
mussa thomas :
point ya maana sana
2026-06-24 22:52:06
9
meshi.laizer
Meshi Laizer :
Yote hayo ni njaa
2026-06-28 08:55:53
6
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Nakubaliii kaka unaongea pointiiii🥰
2026-06-24 18:13:27
10
mr.baraka.wa.town
mr baraka wa town :
mzee wa maana kabisa
2026-06-25 04:48:20
8
nicephonne.bonifa
Nicephonne Boniface :
𝐒𝐨!
2026-06-26 18:31:50
1
To see more videos from user @dar_360_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About