@joellewi05: I'm back guys Baada ya Muda kidogo nimerudi ila kazi zinaendelea kilasiku Hapa Bless Music studio Karibu kwa huduma ya audio recording tunapatikana Kigamboni Dar es salaam WhatsApp no+255685442956 #tiktoktanzania🇹🇿 #fannyvideo #trendingvideo #tiktokviral #eastafricatiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪
Joel Lewi
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 09:52:00 GMT
Music
Download
Comments
Taji classic Muzik :
mwamba unaongea sana ,,sisi wakenya hatuna muda kesho tuko maandamano
2026-06-24 15:32:22
8
DR EMMANUEL :
usichanganye mambo, technology inakubena na hizo melody umekopy kwa wenzako waliokutangulia
2026-06-24 17:18:46
3
ORIGNN :
Good job bro.
2026-06-24 18:44:48
1
SMARTTIPS_DAILY🤓📱 :
mm mnifunzee nimtumikie mungu jmn
2026-06-24 18:47:40
1
John✨✨Paul🇿🇲 :
Asante, this is so nice
2026-06-24 16:15:40
2
demi :
nimeku fuata nikiwa DRC Congo ubarikiwe
2026-06-24 19:22:41
2
ukuta wa yeriko :
kazi nzuri
2026-06-24 10:42:57
1
medard richard :
kaka unaweza
2026-06-24 19:35:41
1
J46 :
saluuute brooo
2026-06-24 17:21:40
1
shadracki :
Unapatikan wap
2026-06-24 18:09:36
1
zac Mahenge :
Ubarikiwe sana nmependa style hiyo ya zouk..
beat unatengeneza kwa sh .ngapi..
2026-06-24 12:46:41
3
ANO BOY TZ :
safi kabisa
2026-06-24 15:31:05
1
mhubiri. Augustino :
sawa..mwalim
2026-06-24 15:15:54
1
Kevin Imbusi :
+254 uko sawa bro, you nailed it?
2026-06-24 17:40:26
1
Frank Churchboy :
Unajua Sana My Brother
2026-06-24 17:49:11
1
shadracki :
Kaka natka kujifunza kutoka kwako
2026-06-24 18:09:27
2
Betah Jesus :
just smiling here in 254,u nailed it bro,be blessed 🙏
2026-06-24 14:49:30
2
hanscastro :
hallelujah
2026-06-24 15:48:06
2
ZAKARIA RAULENT :
hakika kijna
2026-06-24 10:33:14
2
sugu boy MG :
asant kaka nakuelewa sana
2026-06-24 10:11:50
2
charlzchito :
Ndg Joel hongera kwa kazi nzuri
2026-06-24 10:40:45
2
osca :
ukaimbe kuzimu tu na mambo ya mapenzi
2026-06-24 19:46:30
2
Benytow Ythera. :
Nambie kuhusu song writing ......
2026-06-24 17:26:02
1
whatever :
Sauti ipo
2026-06-24 16:40:18
1
Dafari Collection :
jomoni ubarikiwe🙏
2026-06-24 15:06:50
1
To see more videos from user @joellewi05, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.