@foodloverstz: Wapenzi, Jikoni kila kitu kina kazi yake hatutupi kitu, huu wali ni 10/10 👌 mtamu haswaa, mkipika wenyewe mtaniletea feedback. Viungo vyote vya kupikia mnavipata @foodlovers_products kwa wauzaji mikoani kote. Kila sauce ya kupikia ina kiungo chake kikavu, unaweza kutumia vyote katika upishi au ukachagua kimoja wapo. Bei Zetu:- ✔️ SAUCE ZOTE Tsh. 10,000 /= ✔️ VIUNGO VIKAVU Tsh. 5,000 /= ✔️ PILIPILI Tsh. 5,000 /= Wasiliana nasi kwa 0677009477 ( WhatsApp /Call) ili kupata uwakala mahali ulipo au kupata bidhaa zetu kwa bei za jumla. #utamuguaranteed