@tevar_demas: Mchungaji hataki masihara wakati wa ibada 😆 ✍️|| Facebook: @tevar_demas Instagram: @tevar_demas TikTok: @tevar_demas #TrendingStories #TevarDemas #BongoTrending #mchungajinawaumini

𝐭𝐞𝐯𝐚𝐫_𝐝𝐞𝐦𝐚𝐬
𝐭𝐞𝐯𝐚𝐫_𝐝𝐞𝐦𝐚𝐬
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 10:40:52 GMT
158017
4977
412
1336

Music

Download

Comments

erick188c.m.d
erick188c.m.d :
Itakuwa muda wa sadaka unakaribia😆
2026-06-24 21:38:00
286
use1903eagle
eagle :
yupo sawa kama baba yupo sawa nikawaida tumezoea nje kupiga story atujui nn tumefata MUNGU ANASEMA NAYEMPENDA NAMKEMEA NA KUMRUDI🥰
2026-06-25 08:47:32
56
imadefreemind5
Imade 🥶 :
🤣🤣🤣 A few moments later
2026-06-25 16:19:13
0
user8307357926618
Joyce :
Yani mi naunganisha om mazima😂😂 hanioni tena
2026-06-24 17:11:03
89
maick_sk_
maick_sk✨ :
HII SIO SAWA kabisa huu ni udhalilishaji
2026-06-25 08:41:28
43
cinter102
Cinter💜 :
Mi ningekimbia nakanisa naama 😅
2026-06-25 12:19:38
12
user5918147110652
user5918147110652 :
huyu ndoo baba wa kweli🥰🥰🥰
2026-06-25 05:51:33
50
isack.japhary
ZOMBI Star :
hii move inaitwaje
2026-06-24 19:04:18
15
mayayjohn
pendo :
nimempenda yupo sawa kabisa
2026-06-25 06:10:00
28
byerakahamira4
byerakahamira :
pastor unajua kujiamlia mambo jambo jamani
2026-06-25 10:21:38
5
salahapavy0
salah :
safi sanaaaaa Kuna wengine hata hawamjui wameenda kufanya nn kanisani mungu atusaidie sana
2026-06-25 08:20:15
10
01precious8
01precious8 :
Safi sana siyo tabia nzuri kukaa nje muda wa ibada,
2026-06-25 10:47:37
7
danieli8293
Danieli :
Safi sana mtu wa MUNGU, Hatakama ningekuwa nimimi, Lazima ningepata hasira" watu kutomuheshimu MUNGU 🤝 🔥🔥🔥
2026-06-25 13:18:08
5
joliem.marie
Jolie🩵 :
Safi kabisa 😳
2026-06-24 19:15:11
7
sophienkayi
last born 🥰 :
me naona ni sawa
2026-06-25 04:42:34
6
selestinebandomao63g
MY R :
hacheki na wowote safi sana😁😁😁
2026-06-25 06:53:51
5
emmamunuo766
Emmanuel munuo :
mungu asante kwakuaa mm ni mkatoliki
2026-06-24 15:43:00
6
amanjoseph776
Joseph Aman Nkinda :
Roman haya mambo huyakuti
2026-06-24 20:18:48
7
user1617042705804
D@@@@ :
eee mungu nimecheka nisamehe
2026-06-24 17:39:50
8
glory.swai26
Glory Swai :
mu😅
2026-06-25 10:26:43
1
snmmmmmm94
47 first magic cute 🥰🥰🥰🥰 :
jamani kanisan lipo wapi na mm niende🥰😁😁
2026-06-25 13:09:27
1
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About