@story.teller2004: Ngorongoro Crater ni bonde kubwa la volkano lililopo ndani ya Ngorongoro Conservation Area kaskazini mwa Tanzania. Linajulikana kama moja ya maajabu ya asili duniani kutokana na uzuri wake na mkusanyiko mkubwa wa wanyamapori. usisahau ku like, comment maoni yako na ku-follow kwa updates za masimulizi mazuri ya kihistoria,geografia, sciences na kiutalii_🙋🏿♂️ karibu @Ngorongoro Conservation Area #storytime #Storyteller2004 #Ngorongoro #Ngorongoroconservation #bustaniyaeden