nakumbuka nikitoa 100 nikidai fees ya mtoto wangu ku join high school, hiyo 100 ilinipa fees hadi ya Universit, huu ni ukweli niliamini mtoto wangu sahi ako national school na silipi ata 10bob kweli huyu mungu ni wamaajabu
2026-06-25 15:09:30
3
lumiti john kjr :
imeandikwa wapi
2026-06-25 09:11:16
1
Diana K :
very true
2026-06-24 20:06:03
1
DAUD MWANZELA :
Mungu hadi leo hii kwenye angano jipya anadai sadaka ili kuwaponya watu na hii ni sawa na hospitali ya private