Leonard CJ :
Umechanganua vizuri sana Bro Hongera,
isipokuwa ukitaka Music system Bora yenye viwango kabisa nunua AV sound na spika zake, sifa zote zipo na Bei yake unanunua IST au Raum.huku kwetu tunaletewa Skywood, aborder, sea piano,Aylypu,alitop, pine tech, skyworth,LG na Sony za Asia na JBL za china !ambazo zimejaa kariakoo , ubora wake sasa..!
AV sound kama marantz, Denon, pioneer Jvc, Philips, Kenwood Sony na Panasonic ( sio za Asia) hutajutia fedha yako na huzikuti huku kwetu.
2026-06-24 20:33:02