@_awery: Sijui kama naeleweka, lakini ndio ivo😂

Psychic Medium Awery ✨
Psychic Medium Awery ✨
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 24 June 2026 11:01:18 GMT
12937
925
27
35

Music

Download

Comments

mseverada
Ms Eve :
Leo nimeota nafanya mtihani majibu nayajua nikajibu yote na kukusanya 🥰🥰🥰nimeamka Nina furaha
2026-06-24 11:26:00
9
viwanja.nyumba.do
Viwanja Nyumba Dodoma :
Exactly 💯💯💯💯💯💯
2026-07-17 00:58:14
0
dyness617
Sister Hellen🥰🥰🥰 :
Mara nyingi ni Vita za kiroho ukiona ivyo Sali sana
2026-07-19 20:19:25
0
halima.kiumba
Halima kiumba :
mie nikuota dear tupo safarini. safar ni ya bahari kila mtu usafir wake lkn usafir huo km boda boda tuko weng lkn nilomkumbuka ni ww
2026-06-24 17:24:07
3
hellen.simba2
Hellen Simba :
aweri siku hz naota ndoto atar na ninasaahau
2026-07-15 11:35:33
0
bayivan_
Bayivan :
Za kukosea njia zina maana gani
2026-07-15 19:18:34
0
officialmhelela8
Officialmhelela8 ferniture :
nakupataje
2026-07-15 05:07:25
1
lukwi.og
Lukwi OG :
je wale tusio ota 😳 inamana gan
2026-07-14 19:24:54
0
user69917817832213
makungu :
Uko safi kabisa nimefurahi mno leo umenipa ukweli
2026-06-24 15:21:55
2
lyimo.junior4
#Lʏɪᴍᴏ_Jᴜɴɪᴏʀ🖤 :
𝐀𝐬𝐞𝐞𝐞 𝐰𝐰 𝐧𝐢 𝐧𝐨𝐮𝐦𝐚
2026-07-07 13:40:23
0
user4135035141206
happy wambi :
kwann kuna mda unaota ndoto nyingi afu zingine unasahau zingine unakumbuka
2026-07-17 08:13:17
1
user7460670981835
kimaskim :
7
2026-07-07 08:16:23
1
esma_vibe4
Esma vibe clothing :
Asante kipenzi 🥰🥰🥰
2026-06-24 11:31:33
2
gift.term3
Gift term :
My
2026-06-24 12:28:22
2
hassaintz
HIB :
awery umenenepa sana
2026-06-25 19:06:42
1
lifizs1
lifizs :
nataka kujua maisha yangu mbele
2026-07-10 15:02:42
2
user9947560547269
user9947560547269 :
Kwwahyo dada nilitaka kufungua biashara wiki hii je ni sawa?
2026-06-24 13:04:44
1
maheka241
MAHEKA :
Wewe mungu wako marketing katika kiti chaenzi ambacho ni ubongo wako ❤️❤️❤️
2026-07-17 21:49:44
0
piusinuri
Mitingo 70 :
nashida na chai na nifanye nini ili niweze kuongea na mizimu
2026-07-12 15:18:25
0
user5012579106367
Catherine ngeleja :
leo nimeota nipo chuoni ndoto za shule zimepungua sasa hivi napata za chuoni tu
2026-07-10 08:55:22
0
salimadamchogwe
Salim Adam Chogwe :
madam samahan naomba nisaidie kitu mm baba angu anaumwa hawez kutembea yuko kitandani tuu ila nimeota anatembea na amepona hyo ikoje
2026-07-07 19:42:27
0
kiddo7795
Blooming with Dorice. :
🔥
2026-07-15 15:58:40
0
alhajkiua
Alhaj Kiua :
🥰🥰🥰
2026-07-09 11:53:38
0
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About