@tractor_mfalme: 🚜 JIPATIE TRACTOR BORA ZA NEW HOLLAND KWA MKOPO RAHISI 🚜 Miliki Leo Tractor za New Holland zenye ubora wa hali ya juu, nguvu kubwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali za kilimo kwa ufanisi mkubwa. 🌾 Zinapatikana kuanzia: ✅ HP 45 ✅ HP 55 ✅ HP 75 ✅ HP 80 ✅ HP 110 ✅ HP 125 na kuendelea ✔ Zinapatikana kwa mfumo wa 2WD na 4WD ✔ Matumizi mazuri ya mafuta ✔ Uimara wa muda mrefu ✔ Huduma ya mafundi na vipuri vya uhakika 💼 IPATE KWA MKOPO RAHISI ✔ Mkopo hadi miaka 3 ✔ Kupitia benki mbalimbali nchini ✔ Kupitia EFTA ✔ Kupitia PASS Leasing ✔ Dhamana ni tractor yenyewe 🚜 Usikubali kubaki nyuma. Jiunge na maelfu ya wakulima wanaotumia teknolojia bora kuongeza uzalishaji na faida katika kilimo chao. 📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi: 0615 333 164 🔥 NEW HOLLAND – MFALME WA KWELI SHAMBANI. 🔥
abali Yako munatusaidiaje sisi madereva Kwa iyo mikopo mungetuangalia na sisi ivyo vianzio atuna lakin muangalie namna ya kutupushi sisi ndan ya misim miwili t ela yenu tunawamalizia
2026-06-24 13:13:20
2
Rahim Sawadogo :
🥰🥰🥰
2026-06-25 20:37:36
1
To see more videos from user @tractor_mfalme, please go to the Tikwm
homepage.