Nina amin katika yes wa ekarist takatifu tafadhar Nina changamot za kfamilia nina omba mniombee tafadhar🙏
2026-07-02 13:40:43
207
Tania Cruze :
I believe in it
2026-09-12 20:40:30
1
chizi jaymoh :
😂🤣🤣🤣🤣🤣till when you watch the full video and understand the false powers 🤣
2026-07-25 06:40:07
5
vetha🙈🙈 :
najiunganisha na baraka hiyo🙏🙏
2026-07-03 13:17:13
88
Money hunter🤑🤑 :
waah those who said there is no miracle in the Eukarst the proof is here
2026-07-26 12:44:14
15
Lucy Wambu :
there is a miracle in the Holy Eucharist
2026-08-25 05:37:28
5
ALISTIDIA :
Eee bwana sisitaili uingie ndani mwangu lakini sema neno moja tu na roho yangu itapona
2026-08-07 04:44:24
37
@official shistar :
I trust the Holy Eucharist mostly
2026-07-02 05:15:10
28
princesslion :
God can do what no body can do
2026-07-02 17:08:34
7
KIBIKI ASUNTA :
naamini katika mwili wa ekaristi takatifu na Mimi ntenda kwangu.
2026-07-02 17:49:41
20
zainab simba sports :
nakwabudu mungu chini ya maumbo ya mkate na divai🙏🙏🙏😭😭😭
2026-07-03 07:34:35
30
Flora Lucas :
naamin sana katika maumbo haya
2026-07-01 21:10:01
9
LEOKADIA SENGAMIT :
katika kristo yote yanawezekana
2026-08-19 19:54:47
7
Bahati jackison :
Ebwana sisitahiri uingie kwangu lakini sema neno tu na roho yangu itapona
2026-08-22 17:53:15
7
Esther Mjarifu :
Ee bwana sistahili uingie kwangu lkn sema neno tu na roho yangu itapona
2026-08-16 09:32:30
6
user2671333606854 :
ee bwana sistahili uingie kwangu lakin sema neno moja tu na roho yangu itapona
2026-08-17 19:25:55
5
zing baby🌹🌹🌹🌹🌹 :
huyu ni yesu kweli🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏
2026-06-27 11:23:23
7
Spensioza Anthony :
hakika Mungu ni mwema
2026-07-01 18:52:59
6
rozimaryberege :
Imani ndio kitu cha msingi katika maisha Yetu. ninaamini maana hata mimi nimeona muujiza wa ekarist. nilikuwa kwenye novena ya Mt ritha wa kashia na siku ya tisa ni jumamosi kwa hiyo jumapili nilivyoenda kanisani wakati wa mageuzo nilimwambia Yesu nahitaji nikuone katika maisha yangu. wakati naenda kupokea nilipewa hostia 2 wala padre hakujua nami sikujua sasa wakati ndio nataka kuchukua mkononi nikaona hostia ya chini ambayo iligandana na yingine ikaanza kujiengua inateleza polepole mkononi nilishangaa tukio lile lakini wakati nashangaa nikasikia kama sauti ikiniambia kominika. hakika tukio lile lilinionyesha kwamba tusidharau hii Ekaristi ni kitu kikubwa sana Yesu kristo anajionyesha kupitia hapo. tusali sana wapendwa
2026-08-21 08:44:15
7
scontina :
tumsifu yesu kristo
2026-08-12 13:19:25
3
Paul Lucasi :
Milele Amina. mapendo
2026-09-07 18:14:58
2
anisia🌽🌽🌽 :
mapendo
2026-09-07 15:25:58
2
Dolphine k k :
wow bwana asifiwe milele🙏🙏🙏
2026-08-19 19:57:20
1
Sylvia🥰🥰 :
ila jambo la Imani acha tu tuseme mungu ni mwema kila wakati👌👌🥰🥰💞
2026-09-08 12:09:46
1
Sara Emanuel :
ee bwana siatahili uingie kwangu lakini sema neno TU na roho yangu itapona
2026-08-08 22:07:57
1
To see more videos from user @reganvois89, please go to the Tikwm
homepage.