Amekosa la kuongea. Bado akili yake ni ndogo sana.
2026-06-24 20:00:38
2
Esmail Salem :
na mungu wako aliyeuliwa..??
2026-06-24 21:18:05
1
Måddy :
Allah akimpenda mje wake, humpa mitihani
2026-06-25 09:07:27
1
bokande :
acha nikufollow my brother umemjibu ipasavyo kama kawaida yetu atukosi majawabu
2026-06-25 04:32:01
1
nasrachudy :
yani ilo swali lake ni sawa sawa na aseme kwanin Mungu hakumpa Ibrahim na mke wake mtoto mpaka asubiri wawe wazee...ni sawa sawa na aseme kwanin Mungu alimpa ayupu ugonjwa na kufilisika na akati wote ao walikua vipenzi vyake...Mungu anampa mtihan anaowapenda
2026-07-14 12:31:31
0
maya :
swadaktah🥰
kurogwa kwk pia tukapata Tiba y kujitibia/ kukilindah kupitia Mawaydhatain(Nnas, Falaq, ikhlas).