@christopher_musa: #ruwandantiktok🇷🇼 #zambiantiktok🇿🇲 #kenyantiktok🇰🇪 #tiktoktazania🇹🇿🇹🇿

christophermusa81
christophermusa81
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 12:27:54 GMT
6917
673
58
26

Music

Download

Comments

rosezegega
ROSEZEGEGA :
mi huwa kuna mambo siyaelewi kwenye dini na sitakaa nipoteze muda kuelewa...niko kwenye my universe na ntafia huku na niko huru sana .....na respect kila mtu hadi wanyama ...nikiguswa kufanya jambo nafanya 🥰🥰🥰...
2026-06-28 23:01:04
5
kirikuuu013
Mc kirikuu🎵🎶 :
Yesu hajakalibia kuludi yesu kaisha ludi na yupo
2026-07-14 11:12:32
1
sammonney21
SAM MONEY :
swala lingine inawekanaje mchungaji 1 kuwaminisha watu 200 ama watumishi 200 kwa maombi ili wapate kazi, gari ama biashara wakt yy kachangiwa kununua gari na ameajiliwa na kanisa mbona watumishi 200 wasimuombee mtu mmoja ama mchungaji mmoja kwa maombi anunue gari ama kupata kazi.
2026-07-15 19:47:10
2
oigoldwide
Oigold Wide :
😁 hatari sana,, inabidi tujue maana ya yesu kurudi kwa kwel🙌
2026-06-24 13:35:05
3
ibrainda
ibrainda :
nashindwa kuwaelewa 😅
2026-06-25 13:36:28
7
user8858105961361
blaise yafoka :
niutapeli 😭 tu
2026-06-24 18:25:43
2
pendezastore001
pendeza store001 :
@Davi
2026-07-17 12:26:10
0
bossah__vanessa
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Mm sijawah kuona kanisani kwetu wanachanga gari la mtumishi tunachangaga tu kwaajili ya ujenz wa kanisa au shule lkn sio gari la mtumish
2026-07-14 12:04:27
1
user7748040037775
masika mathe :
wanatuchanganya wajuwe
2026-07-18 06:21:02
1
mwamba.mgomi
Mwamba Mgomi :
wameisha tuvuruga sana
2026-06-25 04:25:00
2
papaa.white
Papaa white :
tunatishwa tishwa tu,
2026-06-24 18:25:47
3
sadickmwalongo
jojo's drinks shop :
ni utapeli tu
2026-07-16 21:16:45
1
apphilip0
AP PHILIP :
duuu
2026-07-20 10:22:22
1
nenokyando
nenokyando :
yaan we acha tu
2026-06-24 17:26:36
2
izackriwa
juma juma4 :
akuna aliye kufa akarudi ata yesu alikufa kama wengine hawezi kurudi tena
2026-07-21 08:51:06
0
26llife
26 life :
Mimi kunambo mengi sana huasielewi kutoka kwahawa watumishi lakini mungu kwalehmazake atusaidie sisi wajawake dunia inakwenda kasi sana
2026-06-30 17:29:27
1
semvuaalawi363
black_n_white :
kiukweli inatafakarisha sana😅
2026-07-24 10:22:22
0
smoulderbeliever
smoulderbeliever :
mtihan
2026-07-22 13:54:49
0
user499195986115
user499195986115 :
Nafikiri,uko kwa ajiri ya kuchalange,ila kama unataka kujua,ni hivi,mafundisho hasa ya Yesu ni ya kiroho,siyo ya kimwili,uwe tayari kiroho,na roho inaishi ndani ya mwili,mwili ni wa udogo,gari nikwa kazi za kimwili,kufanya kazi ya Mungu,
2026-08-05 11:26:33
1
subziroo113
RAIDEN.TZ :
nakubalii Mzee hawan akilai awa watu wa dini
2026-07-13 21:08:12
1
vicentjames2
Vicent JJ :
Mambo ni mengi muda ni mchache 😂
2026-06-25 04:40:11
2
agustinonuhu705
Agustino Nuhu :
hamna mchungaji apo broo mpeni jembe akalime2
2026-06-24 15:09:02
3
edithansiima267
MTETEZI WA MSALABA :
Yesu alisharudi, Sema yeye hamuona.
2026-06-25 05:20:14
2
givembwilo0
give mbwilo🇹🇿 :
sasa akija yesu mi inanihusu nini?
2026-06-25 04:01:09
2
To see more videos from user @christopher_musa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About