@glelo_realestate: APARTMENTS ZA KIFAHARI MBELE KABISA YA BAHARI! – MSASANI BEACH Mradi upo sekunde chache tu kutoka ufukweni. Aina za Apartments: • Chumba 1 cha kulala • Vyumba 2 vya kulala • Vyumba 3 vya kulala Zote zikiwa na mandhari ya kuvutia ya bahari na muundo wa kisasa wa kifahari. Bei zinaanzia kutoka: • Chumba 1 – kuanzia Tsh 245M • Vyumba 2 – kuanzia Tsh 377M • Vyumba 3 – kuanzia Tsh 509M Hizo ni floor ya kwanza( tuna 17 floors) Bei inatofautiana kila floor) Bei hizi hazijumuishi VAT. Njia rahisi za malipo: • Malipo kamili( full payment)-Discount 15% • Down payment ya 20% au 50% -Discount 5% & 10% Reserve unit kwa TZS 5.2M / USD 2,000 Fedha hii hairudishwi lakini hujumuishwa kwenye malipo yako. Huduma na vivutio: • Swimming pool • Gym • Garden • Playground • Maegesho ya magari (parking) • Usalama wa saa 24 • Ufikiaji wa karibu wa ufukwe Tenis court Lift 2 kila jengo Purified water Bar Inafaa kwa: • Kuishi karibu na bahari • Nyumba ya mapumziko (vacation home) • Uwekezaji wa Airbnb • Mapato ya upangishaji wa muda mrefu Makabidhiano ya apartments: • Nyingine zitakabidhiwa March 2028 Ofa maalum kwa wanunuzi wa mwanzo inaelekea kuisha. Weka nafasi yako sasa. Wasiliana nasi sasa ili kupata maelezo zaidi au kuhifadhi unit yako. +255 699 167 707 #ronaldo #worldcup2026#beach #tiktoktanzania🇹🇿 #fypシ

Glelo real estate
Glelo real estate
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 12:31:04 GMT
5049
110
0
49

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @glelo_realestate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About