nsaidie dawa inayotibu mafua makal ad kutoa machozi dicta
2026-09-15 12:15:18
0
elizabethmisana28 :
chanjo ya Marek's inatumika kwa kuku wa kienyeji piah
2026-09-15 08:09:58
1
Julitha Pastory :
Naomba msaada kuku wanadonoana sana tatizo ni nini?
2026-06-24 18:56:17
4
joseph abeljr :
kweli nitatizo sana
2026-08-09 08:52:06
2
jane mbuch :
good information
2026-06-24 19:31:16
3
NOVA ENTERPRISES :
je uyu
2026-08-06 21:02:51
1
njema :
dawa ni gani
2026-08-25 07:05:07
0
Jane Matiku :
chanjo ya malek ni chanjo gani na inapstikana wapi
2026-07-17 16:23:19
1
Noella Byamungu :
kuku wangu anashindwa ku shimama ni mupe Nini ?
2026-08-31 16:19:00
0
Carine Dada :
nasaidiye na dawa yakidonda ku kuku
2026-08-06 04:57:58
1
malingum 🙏 :
dawa lasimi ya kuku ni hipi
2026-08-18 04:11:17
0
Fadhili Dini :
kuku wangu wana kula mayai nifanyeje
2026-06-25 15:45:38
2
user7975025797265 :
Tatizo hilo ni kubwa sana kwa kuku Naomba tuambie dawa
2026-06-24 13:37:07
2
sayuni :
wangu alikua hv hv
2026-06-25 13:57:28
1
Logolie Marogo :
uko vizur
2026-06-24 18:40:27
2
devisi :
Nina kuku wangu huyu ana miezi mitatu anakula lakini nimeshindwa kumtibu changamoto yak hii naomba unishauri kama hutojali
2026-06-25 16:44:33
1
Fauxite B :
sometimes inakuwaga Fungus imegusa kwenye Joint hizo coz ya Banda kuwa Bichi ......D.C.P nayo inawezekana ila tunaanza na data ya kuangalia mazingira ya Kuku pamoja na Chakula anachopata ni Balance diet or not
2026-06-24 20:14:57
1
tenga boy :
dawa ya kitheri ni kani unamka kuku kumekauka kama chapati
2026-09-12 13:24:45
0
Catian vet services :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-29 18:54:23
2
Athumani Mshihiri :
🔥🔥🔥
2026-06-25 08:15:49
1
To see more videos from user @mifugo_podcast, please go to the Tikwm
homepage.