When I hear your songs they remind me of Fanuel Sedekiah
2026-06-24 14:12:43
3
Sunday Siwale667 :
Brother Ombeni, sauti yako imefanyika baraka kwenyw maisha ya wengi sana, mimi nikiwa mmoja wapo. Nimwkuwa nasikiliza nyimbo zako tangu niko shule hadi sasa ni Baba wa familia. Mungu akutunze na uwe na afya njema uendwlew kuifanya kazi hii tukufu🙏.