@egertonuni: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Egerton, Prof. Isaac O. Kibwage, PhD, HSC, anawakaribisha wote kutembelea Maonesho ya ASK Nakuru, na hasa kutembelea banda la Chuo Kikuu cha Egerton. Karibuni mjionee ubunifu, utafiti na huduma mbalimbali zinazotolewa na chuo chetu.