@matukioonline_tv: "Sasa Bwana Patrobas Katambi unamwambia raia wa Mwanjela ambaye hajui hata uhalifu maana yake ni nini akuletee taarifa umlipe fedha, tunajua watu wananjaa na mmewasababishia matatizo, hivi mtu akinyanganywa mke na mtu mwingine si atapeleka taarifa kwamba huyu ni jambazi mumkamate mumdhuru?" Mhe. @HecheJohn
Matukionline Tv
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 13:57:09 GMT
Music
Download
Comments
bob :
heche heche ungetulia brother, tulia
2026-06-25 16:57:14
34
Juwairia Mikidad :
njaaa mbaya sana
2026-06-25 08:09:02
62
Rk@uneducated :
demand of new consititution,is better
2026-09-09 11:59:52
3
pascal Athanas masadika :
ulijuwaje eche
2026-09-08 12:08:27
6
steve :
kweli kabsa broo heche
2026-09-08 17:34:08
7
unknown3rror :
hii siasa ya nchii hii imeisha kua kama movie ya kihindi mara mnapendana mara mnageukana yani mnatuchanganya tu bora niende nikale kisinia nitulie
2026-09-10 08:54:42
2
FEMONE SHOP🙏🙏 :
Njaa mbaya sanaaaaa
2026-06-26 16:50:29
20
Michael :
huyu jamaa anaona mbali sana
2026-06-26 15:05:23
24
mkongojo :
zamani nilikuwa nafuatilia sana lakini Sasa hotuba zako aaaah zimenichosha
2026-08-12 14:18:22
1
Bin Faraji :
Heche
Heche
Heche
2026-06-25 12:33:44
7
BENARD MWAKALYELYE :
njaa mbaya sana katambi
2026-06-26 15:57:59
15
smartboy_mesbeats :
Andika hii point nikubwa sana tena sana
2026-08-09 07:32:52
5
joseph :
mungu akulinde kaka
2026-06-26 17:29:15
11
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-09 21:38:34
4
godfrey butto :
🥺Duuu njaaa jamani
2026-06-26 14:12:40
5
josephraymond923 :
fact💪
2026-06-25 04:07:16
6
lemamolelilemamoln :
mwamba
2026-06-24 21:15:58
6
Aisha Habs :
heche mungu akulinde mnapambana kwakwel hawa chawa ndo wanaumia hawataki ukwel
2026-06-26 19:59:21
5
shukuru :
njaa mbaya sana mumgu.anakuona.
2026-06-25 08:27:55
6
Massiana Emmanuel :
Wao ndo wahujumu uchumi
2026-09-10 10:48:24
1
Nyamongo Da G collection :
Jmn jmn me aya yote nilikua sijui,,Kumbe ilikua hvo
2026-09-10 10:19:12
1
Victor Mrina :
Umeongea ukweli sana
2026-06-30 16:53:30
2
Rank :
nchi imekwama kweli
2026-09-09 10:10:27
1
happy :
mungu mbaliki heche apewe mitano tena
2026-07-18 06:49:26
2
leticia :
big up heche miaka mia ishi
2026-09-10 09:28:49
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.