Safi sana uyo shosti nimemkubali abarikiwe kokote alipo mjinga hadumu na ndoa
2026-06-25 06:56:19
1
mwarabu cheupe :
ndio maana mm Sina rafiki Niko peke yangu marafiki goooo
2026-06-24 23:44:45
1
moosoudy :
HAKIKA💯
2026-06-24 20:21:03
0
362079 :
mtiani
2026-06-25 03:35:53
0
Maryam Ally :
subuhanallah
2026-06-24 18:31:15
0
mubarak :
fact kweli hpo
2026-06-24 18:30:54
0
✨️weyna🎀 :
subhanaallah😔
2026-06-24 14:50:06
0
warnaaa :
subhanaallah
2026-06-24 18:17:31
0
Asfam03 :
Pole sana kwake
2026-06-24 15:21:31
0
💨At saly🥀🥀 :
kumbe Kuna watu bado wanaomba ushauri kw marafiki 🤷🤷
2026-06-24 16:38:05
1
@Silima Rashid :
2026-06-24 21:08:25
0
FAKIH IBRAHIM KOMBO :
wewe ungeerewaaaa?
2026-06-25 04:35:50
0
Happy nation :
Kwani hakujua Kma room yao ndio ofisi ya mahakama hakumpenda mume km alimpenda asingeenda
2026-06-25 00:32:17
0
Mwana--Mpemba og :
Dah! Hivi mie, nitaowa kweli??? SUB'HANA LLAH!
2026-06-25 07:31:23
0
Lubna :
Mimi Sina rafiki wananwke ni wanaume tuu. ata watu wakisema ni vibaya hakuna rafiki baina ya mwanamume na mwawnamke mimi am comfortable talking to them we don't gossip ni mambo za kawaida tu taongeya .
2026-06-25 06:19:01
0
official laaa🌹 :
mtihani huu walah
2026-06-24 15:35:03
0
user84692652257425 :
jmn mtihn allah atufanyie wepesi n mashoga wanafki
2026-06-24 15:13:37
0
fatma :
🥰🥰🥰
2026-06-24 18:19:46
0
user3733695595610 :
😔
2026-06-24 14:17:19
0
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.