daaa hii nchi ungekua ivi miaka yote tungekua mbali sana kimaisha
2026-06-25 03:43:43
295
M.K.GANG :
watu kama hawa ndio tunaitaj tz kama umemkubal kamada like hapa nione🫡
2026-06-25 08:21:15
268
BROTHER HOOD :
sema nn tofauti zetu kushoto na hawa jamaa we are family keep listening to him...mwamba ninoumaaaaaaa😎
2026-06-25 11:03:37
17
DJ Odfive 🎧 :
wameanza kupona mmoja mmoja
2026-07-04 18:19:46
5
Danford :
Hayo ndio maisha tunayoyataka sisi wote niwamoja umetisha sana 💯💯💯
2026-06-26 11:13:02
46
Kelvin Tizzo :
ingekuwa asikali wote wapo ivyo maisha marefu vijana respect sana brother
2026-06-25 06:19:51
53
kefas yared :
tungekuwa namashirikiano yakijamii kama haya tungekuawa mbali sana kiukweli mimi nawachukiaga msikari lakini huyo afande kanikosha afande saluti kwako 👌🔥🔥🔥👍🙏💯