@bongofive: Mbunge wa Kigoma Mjini Kigoma Mjini, Clyeton Chipando maarufu kwa jina la Babalevo amewaomba Bodaboda wasimuangushe baada ya kukubaliwa kusikilizwa changamoto zao na kufanyiwa kazi na Serikali, akigusia suala la kodi kwa Bodaboda liondolewe kwani ni kundi ambalo linapambana na maisha baada ya kukosa fursa mbalimbali.