Shukran shehe Asante kwa faraja uliyo nipa. maana naonewa na zalaulika na mume 😭😭Allah ndiye atanilipia🤲
2026-06-25 04:01:32
70
minaaa ally :
kunamtu alinikosea nilingia ndani nikalia nikamuomba mungu dk5 hazikuisha alipata ajari mbaya saiv shingo halifanyi kazi na alikua amezoea kunionea 🤲
2026-06-27 10:20:29
35
SAKINA BEAUTY STORE :
mim huyo naonekana kifupi sanaaa😭😭😭
2026-06-28 08:39:17
6
user6833513261376 :
navutiwa sanaaaa na mawaidha yako huwa yanaingia ndan ya moyo direct
2026-06-24 19:22:35
55
sherry nyange :
mungu naomba umlipe nimekaa kimya kwasabu nimechagua busara,mungu yupo🤲
2026-06-28 20:18:24
12
user3164192972722 :
● Yaa Allah tunakuomba umuhukumu Samia Suluhu Hassan. Huyu mwanamke ni muovu, muuwaji na dhalim.
Mpe adhabu anayostahili.
2026-06-25 18:49:54
9
CHINA-BOY :
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY SHEIKH AMIRI FROM TANZANIA 🇹🇿 NAKUBALI EVERYTHING U SAY IS TRUE MASHALLAH 100TH PERCENT JUMA MUBARAK TO U AND EVERYONE ISLAM ☪️AROUND THEY 🌎 UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK ☪️🇬🇧 💙 ❤️😊 💖 ☪️🇬🇧 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-25 21:17:16
5
🌹Ukhty Rahmatullah🌹 :
Huyo ni Mimi 😭😭
2026-06-24 23:37:53
10
Sasho :
Subhanallah imenigusa sanaaa hii lakn nasema alhamdulillah 🥺
2026-06-24 17:08:26
11
Saadie :
alhamdhulilai ndio neno langu
2026-06-25 10:50:26
21
eve munga :
Kweli kabisaaa nipo sahihi
2026-06-26 05:58:57
10
mom g🥰 :
daah ndio ninayopitia sasa a ananiona kama mm mbwa ipo siku Mungu atanilipia
2026-07-31 09:26:45
2
user8471330305415 :
Alhamdulillah asante shekhe kumbe naenda sawa, Alhamdulillah Allah akulipe kheri duniani na akhera amiin
2026-06-26 03:32:05
6
user39995561600533 :
Allah nipe mwisho mwema
2026-06-25 07:07:18
9
mzalendo_tz :
sheikh wangu uyuuuuuu 🫵
2026-07-17 14:52:11
1
ibra :
Amina
2026-06-26 18:51:02
1
JORDAN :
huyu baba nakubali sana maneno yake
2026-06-26 15:08:35
9
Asha Katwale :
shukrani sn ALLAH KARIM AKULIPE HERI ZAID BILA YA IDADI.
2026-06-24 16:18:59
5
Mrs muchacho :
Allah msikivu,wakila Lililo la wazi na Siri
2026-06-26 06:53:59
10
Her Highness :
hasbiya Allahu wanicmal wakeel is my go
2026-06-25 13:41:58
6
Reheema Hassan :
kabisa
2026-06-26 10:38:42
3
humble by nature :
hakika
2026-06-26 08:47:22
4
cute majda❤️ :
Hakika
2026-06-27 16:55:06
1
John Ole :
amen amen
2026-06-26 19:52:51
2
zeii 🦋💋 :
SubhanaAllah
2026-06-25 05:59:01
3
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.