@lumenmediatz: Tukio la Azam FC kufungwa mabao 3-0 na Yanga limemshtua Afisa habari wa Simba, Ahmed Ally baada ya kufahamu taarifa hizo wakati akifanya mahojiano na waandishi wa habari mjini Morogoro. Mechi zote nane za Ligi Kuu ya NBC raundi ya 28 zimechezwa muda mmoja kuanzia saa 10:00 Jioni, huu ni utaratibu wa Bodi ya Ligi hiyo wa kuepusha upangaji wa matokeo ikiwa ukingoni
Lumen Media Tz
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 15:56:22 GMT
Music
Download
Comments
ℝ𝔸𝕍𝕀𝕊𝕋𝔼ℝ ℤ𝔼𝔸𝕃𝕐 :
mimi ni shabiki wa yanga ila huyu semaji huwa namkubali sana aise😊
2026-06-24 18:42:54
53
Rafael paul :
watu wabange
2026-06-24 17:53:10
45
2nyi :
itakua AI
2026-06-24 20:19:20
0
true love👩❤️👨🫂 :
asa mlitaka aongee nini
2026-06-24 18:06:46
7
Hance Aman :
na utashangaa sana
2026-06-24 17:56:52
14
Mtumi-sh🙏❤️🙏 (math-@ry) :
Wako serious nimeskia
2026-06-24 18:16:52
8
nditifamily :
waaaaa waaaa waaaaa😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
2026-06-24 18:46:57
1
DNR ...crown :
waaa.... waaaa.. waaaa.
2026-06-24 19:41:49
1
chally wa dom :
eti waaa waaa waaa😁😁😁
2026-06-24 18:04:04
7
Iddi Issa :
nashindwa kushangaa
2026-06-24 18:33:03
6
user9185086699214 :
bado ujasema
2026-06-24 18:17:41
5
fahsar :
nimecheka kw sauti
2026-06-24 19:35:35
1
Chrishna Eliah :
😅😅🤣🤣eti waaa waaaa waaa
2026-06-24 17:34:47
2
Dodi Mcdonald :
Nashindwa kuelewaa
2026-06-24 19:15:23
1
RAIS WA MAJOHE :
follow follow back naanza
2026-06-24 19:52:22
0
Helen :
Arajiga
2026-06-24 18:15:44
1
RACK 💮🎒 :
Yani waaah waaaah waaah.😂😂
2026-06-24 18:08:27
2
Richy :
utakii au
2026-06-24 20:17:42
0
Black boy :
Waa waa waa😁😁
2026-06-24 20:07:25
0
Qhaifa Qhutarasa :
afu sio chuma tatu tu ni NBC
2026-06-24 20:08:57
0
GERALD :
hamna NI AI
2026-06-24 20:24:09
0
To see more videos from user @lumenmediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.