@beautify.salon.tz: NEW HAIR ALERT Nywele ya mkataba, inajaa vizuri na wanaopenda kubana nywele za mawimbi hii inawafaa, haijifungi ni laini sana🔥 Kama unavyoona hapo mteja wetu tumembana vizuri sana na imependeza . . Tupo kijitonyama pembeni ya Collubus hotel 0763746610 Bolt: beautify hair& beauty salon