@ntvkenya: Polisi: Hakuna Maandamano Nairobi Kamanda wa polisi wa kaunti ya Nairobi ametoa onyo kwa wanaoendeleza mipango ya kuandamana kesho. Issa Mohamud amedai hakuna aliyefika katika kituo chochote kutafuta idhini ya kuandamana hapo kesho. #NTVJioni
Dear friends kindly Naomba anybody Anibless na supper 😭 nipikie my 3 year old Daughter ,maisha imekuwa ngumu
2026-06-24 16:45:19
2
paulinemundia222 :
hatutaki maandamano
2026-06-25 03:51:36
1
Dennis Barasa :
ona vile wamenona hao
2026-06-24 16:37:02
2
Bellah’s Touch :
Hatutaki maandamano tuacheni tujitafutie maisha bwana🥺
2026-06-25 04:25:09
1
ANDREW (THE TECH GUY) :
It's boiling itself 🤒... this plot is thickening
2026-06-24 16:26:15
1
Hermosa❣️ :
kwani mnaohopa vijanaa
2026-06-24 16:34:02
1
Livewire :
ICC candidates. ongeza kwa list
2026-06-24 16:34:53
0
. :
Guys haki msinijudge. My son ako na cerebral Palsy na kuna dawa huwa anameza kila siku inaitwa epilim inapunguza convulsion. Naomba kwa unyenyekevu msamaria mwema anibuyie ya siku moja ya 60 bob. Na kama uko na kazi yeyote please connect me..
...
2026-06-24 17:42:58
0
起爆装置42 :
papa yesu uyu pia nilini
2026-06-24 20:06:56
0
ceejay.ke :
😂😂😂😂😂😂
2026-06-24 19:52:57
1
Latif Mohammed :
😂😂😂
2026-06-24 16:59:36
0
wanyonyi elllam :
😳😳😳
2026-06-24 22:09:16
0
user8126161579731 :
🥰🥰🥰
2026-06-26 07:46:37
0
To see more videos from user @ntvkenya, please go to the Tikwm
homepage.