@uhondo.tv: Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Clayton Chipando maarufu Baba Levo ameongeza Serikali kaondoa makato ya Kodi kwenye dau la mtu anayeshiriki kamali. Baba Levo amesema hayo wakati akichangia Muswada wa Fedha wa mwaka 2026 (Financial Bill 2026) Bungeni jijini Dodoma. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 17:07:16 GMT
Music
Download
Comments
uwesu🌙✨ :
huyo anaesema taarifa ninan
2026-06-24 18:08:18
256
Rama U.wEzㅇ :
Nilicho gundua sibika pia familiy ✌✌✌😁😁
2026-06-25 08:37:40
111
Yahya Afrovaan :
he just genius
2026-06-26 10:31:25
0
sidekamaside35 :
Au unataka uonekane kwenye video zangu😂😂😂
2026-06-25 06:22:29
119
16SāVāgē :
naomba kuuliza taarifa ni nini
2026-06-24 18:25:51
98
mtakatifugodfreyj :
akiliwa je serikali si inapoteza ?
2026-06-24 18:01:06
133
Alone🖤 :
Family anatupambania sana
2026-06-25 03:59:44
45
MARROW :
wabunge wa ovyo sana wanahamasisha kamari bungeni, mimi sasa rasmin sio shabik wa baba levo
2026-06-25 05:27:39
27
Oscar Mathew :
Taarifa zinatukera sana
2026-06-24 17:37:34
57
Fashion Classic :
chipandu mungu akubariki sana
2026-06-25 10:44:05
11
silivia :
keisha wangu uyooooo
2026-06-25 17:25:28
1
J.JONA :
brother K alikuwa sahihi taarifa nyingi
2026-06-25 00:27:22
25
Savage JR :
“Unataka uonekane kwenye video zangu 😂“
2026-06-24 21:34:41
36
Mr dismas⌚💸 :
kwenye uhai wangu nilikuwa nasikia tarifa najua nitarifa ya habari xxhv nashindwa kujua maana ya tarifa😅
2026-06-25 14:10:58
7
@josh_decor :
Yessss
2026-06-24 21:53:34
2
De miran :
day three of commenting till I get a girlfriend
2026-06-25 22:26:22
0
first one :
kak kamari atuach tenashukuru san kuliongelea baba levo
2026-06-25 06:59:28
6
youngpeter922 :
wacheza kamari tumepata mtetezi wetu bungeni
2026-06-25 07:26:48
6
Alfonce De More Jr Clssc. :
Nakubali mshua uko vizuri
2026-06-25 07:55:13
5
Travis :
makumaa wotee
2026-06-25 00:43:32
17
vee :
MUNGU ni mwema..kutoka CHAWA kuwa MBUNGE.. MUNGU amlinde
2026-06-25 14:26:52
7
Aisha Juma :
Bunge la taarifa
2026-06-24 18:24:26
21
mzalendo Duniani :
taarifa ndo nn mtu akiwa anaongea
2026-06-25 09:55:27
17
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.