@bongofive: Fagason ameajiri zaidi ya watu 600 Dar kupitia kiwanda chake cha nguo Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Fagason Aron Nkingwa, ambaye pia ni mfanyabiashara, wiki hii amefunguka kuhusu safari yake ya ujasiriamali. Hii ni siku chache baada ya kufanya mahojiano nasi na kutuonyesha familia yake yenye watoto 15, huku akieleza kuwa anatamani kufikia kuwa na watoto zaidi ya 20 ikiwa Mungu atamjalia.

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 17:50:15 GMT
11294
251
5
26

Music

Download

Comments

user83412184350738
bunda masumbe :
sw
2026-06-26 06:07:54
0
user728349324509
user728349324509 :
Kwa hio
2026-06-25 04:48:58
1
user7090619032244
olivajames :
mke moja?
2026-06-24 18:33:50
1
suleh255
Suleh :
🔥🔥🔥
2026-06-24 18:00:26
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About