@binna_collection: ✨ Abaya ya Kofia 2-in-1 ✨ Stara, umaridadi na uhuru wa kuchagua mtindo unaoupenda. 🤍 Vaa na kofia kwa muonekano wa kisasa na wa kipekee, au ondoa kofia na ubaki na mwonekano wa classy na maridadi muda wote. ✔️ Mtindo mmoja, muonekano miwili ✔️ Kofia inayotolewa kwa urahisi ✔️ Material laini na yenye comfort ✔️ Inafaa kwa matumizi ya kila siku na matukio maalum 💫 Chagua mtindo unaokufaa leo! 📍 Available @Binna_Collection #tiktok #tanzaniantiktok🇹🇿