@street_to_street: Nimegundua mara nyingi katikati ya jiji la Mwanza kunakuwa na watu wachache kuliko unavyotegemea. Unadhani sababu ni nini? Je, watu wako maeneo mengine kama madukani, masokoni na kwenye malls, au kuna sababu nyingine? Tujadili. 👇 #Mwanza #MwanzaCity #Tanzania #LakeZone #Mjadala

Mtaa kwa Mtaa
Mtaa kwa Mtaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 18:07:19 GMT
60609
2295
205
41

Music

Download

Comments

user5016315111569
+256 :
asubuhi saa 1 hadi saa 5 ni wengi, saa 6 hadi saa 8 wachache saa 9 hadi saa 1 usiku wanakua wzngi. asubuhi wanaenda makazini mchana wapo kazini, jioni wanarudi nyumbani. kiufupi Mwanza hakuna wazurulaji
2026-06-24 19:17:50
155
mussasabath
Mussa Sabath :
hamuna washamb
2026-06-24 19:19:11
3
user7287252771902
fetty🇹🇿 :
naupenda huo mji nimsafi sana afu vyakula vingi kuliko dar
2026-06-25 06:10:30
46
hamis_p_mwandu
hamis_p_mwandu :
Mwanza haina wazururaji
2026-06-25 05:01:41
37
kubukadaniel
Baraka Daniel kubuka :
Watu hawaji mjini coz kila hitaji linapatkana huko huko mtaani
2026-07-18 08:50:47
1
user8514726128412
E45@ :
is the cleanest city
2026-08-14 10:42:11
1
coolmoment.tz
C.M :
huko watu wengi wako mlango 1 🔥🔥
2026-07-26 07:19:00
4
cesiliakachima1
My LifeSToryCesy :
Huduma zimesambaa sana
2026-06-25 09:54:03
7
beery_s
Madam..B👩‍🏫 :
jumapili ndio kabisaaa wachache.
2026-06-25 06:08:11
13
inspamoti
Inspamoti :
ingia ofisi uone watu wanavyo piga kazi
2026-07-25 13:24:35
1
jurxon_
jurxon_ :
Mji ulishakuwa mkubwa, mahitaji mengi ya msingi kama hospitals, masoko, banks, maduka ya nguo, electronics na ofisi za halmashauri ziko pembezoni na si katikati
2026-07-12 06:51:59
7
jamesdaudi443
James Daudi :
wako busy na kazi
2026-06-25 04:16:12
6
boniface_og
Boniface Bonnie :
hiyo ni jumapili. Mwanza siku ya jumapili Unaweza Dhani watu wamehama.... lkn sehemu kubwa ya watu wengi Mwanza wanaishi nje ya mji. so siku za mapumziko mji unapoa maana biashara hua hazifunguliwi
2026-08-03 13:30:28
2
user55006813103587
user55006813103587 :
hii itakuwa ni j pili
2026-06-24 18:37:50
2
mamdo9322
mamdo :
wanakuwa maofisini.
2026-06-25 07:48:45
3
lucasshughul
Lucas Shughul :
kila mtu anajua anachofata mjini😂 huku hatuna washamba wa kwenda kushangaa ovyo ovyo na vitu vyote tunapata nje ya mjini mjini tukafanye nini
2026-07-14 18:25:07
3
elisha_machugu
elisha machugu :
njoo jion
2026-06-25 08:30:47
1
goldian_jr
Luiz gold emmanyo :
sio j2 hiyo mkuu
2026-06-25 19:28:15
1
nurveer4
Africans one🌀 :
kwa sababu ni wachache
2026-06-24 19:36:52
2
datsonkamando
YOUTH AND VANGUARD TZ⛎ :
wapo kazini
2026-06-25 04:17:21
2
lucas_offial
Lucas_official :
inategemeana ila Lumumba soko kuu na liberty watu wengi sana
2026-07-15 15:56:47
1
gunb93
Gun boy :
Hii itakua jumapili
2026-06-25 00:58:49
2
jacquelinemtui
jacquelinemtui :
wengi tunakuwa maofisini lakini jioni tupo wengi
2026-06-26 08:18:54
4
naziriharunakiluj
Lamine, Yamal .2 :
jumapili au
2026-06-25 12:32:56
0
street_to_street
Mtaa kwa Mtaa :
why????
2026-06-24 18:38:09
1
To see more videos from user @street_to_street, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About