huyu WA blues always anadance na feelings za ngono Tu
2026-06-27 07:11:57
15
kabebi :
next time camera man focus 😒
2026-06-26 18:24:49
7
Josephat Omondi :
huyo amevaa top ya pink 👌
2026-06-25 06:08:25
38
Mutua :
I know you just concentrating on the blue girl😁,which is okay,but see the girl on pink is also a pro.✨
2026-06-25 08:45:15
10
Kaka brother :
kaka me napenda sana kazi ya mungu mnayoifanya lakin me nimempenda sana uyu dada aliye vaa iyo jezi na sketi ya blue bahari nawezaje kupata mazungumzo pamoja nae naomba unijibu dm tafadhar
2026-06-24 21:59:46
8
MASAU MSABI :
mchungaji wa ili kanisa usipo onya ivi vitu utadaiwa na mbingu hutaisikia tu
2026-08-04 12:02:13
1
chuma :
La fille en jupe bleue danse très bien vraiment. Félicitations à toi 🥰🥰🥰🥰
2026-06-25 06:31:41
10
Spinmaster :
Team pink & blue u both nailed it up... 🔥
2026-06-25 16:50:46
8
Alex Chamangwa :
sky blue jersey and blue sket she dances very gracefully
2026-06-26 00:23:52
6
Eunice Mmboga :
sky blue anaweza
2026-06-24 19:28:04
16
brenda :
hii kwaya sichoki kuitizama nimetoka kuipenda sana uyu dada mwenye sketi ya blue na dada ake wananikosha sana🙌🙌🙌♥️
2026-06-25 11:04:26
13
Joshua Alpha :
nawapenda sana mungu awabariki hii kazi nzuri
2026-07-17 14:19:57
2
Jeff Jackie🧑🍳🇰🇪🇭🇹 :
name of the song please 🥺
and say hi to the lady in blue she is always my fav 💗
2026-07-21 20:09:35
1
user7781670878871 :
Amen mbarikiwe sana watu wamungu
2026-07-12 16:41:36
1
Yong and beautiful forever :
2026-06-25 07:07:36
4
Moses Modest :
kwakwel mungu awatiee nguvuu mnawezaaaa
2026-06-25 11:42:52
6
Tinotenda2467 :
I am on the Blue side ..... on repeat
2026-07-13 20:22:17
1
user2123956981734 :
pink anaelewa saidi
2026-06-27 09:07:44
1
Phabi :
kwa yesu nifuraha kila muda kama unakubali gonga like
2026-06-24 19:16:19
5
Matoboymkuthe samson :
duh mbona disko sasa jaman
2026-06-27 17:05:48
0
Mr. Jamal Edward :
uyo mwanadada n mofire mambo mbya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 any way amenipamba sana is a good dancer like it
2026-09-03 14:22:48
1
penina :
nimeipenda hiyo🥰🥰
2026-06-26 21:27:24
1
edenzia :
Ata camera man nae haezi ondokea kile siezi acha kuangalia apa😁😁 ❤️🔥❤️🔥 acha mungu abariki Zaidi 🤝
2026-06-28 04:54:03
2
Issa Rajabu42 :
Huyo alovaa blue nmemuelewa
2026-06-26 07:41:22
1
Be Like :
mbalikiwe jaman nawapenda kwa jina la bwan kiukweli mnanikumbusha mbali sana kipindi icho naomba na Mimi
2026-06-29 13:17:32
1
To see more videos from user @gseven.mwasomola, please go to the Tikwm
homepage.