@rashidiyasini498:

rashidiyasini70@gmail.com
[email protected]
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 18:46:05 GMT
52661
7457
185
895

Music

Download

Comments

user9350251474739
DAA2 :
hapo kwenye mawazo mmh mungu atuhurumie tu wallah waja wake
2026-06-26 12:11:19
95
mama.cayla11
Salama Salum :
Allah atufanyie wepesi kwenye ibada zetu
2026-06-26 09:52:02
40
muu9148
Muu collection 🇴🇲🇹🇿 :
😃😃Hyo ya 2 ndo swala za waarabu😀
2026-06-26 11:08:39
8
marthamichael116
Martha Michael :
ya allah naomba nikubalie swala zangu ya allah naomba nijalie mwisho mwema inshallah🙏
2026-06-24 19:17:41
22
ummy_khamsah5
Ummy Khamsah :
SubhanaAllah. tusaidie kuondoa Hayo mawazo. maana mpk unasahau upo rakaa ya ngapi. Allah Atuongoze Swala zetu
2026-08-10 20:25:45
10
chamy_princess
MOm🦋🌸😌 :
Apo kweny mawazo me nahis wat wote io hali tunapitia mawaz kweny swala lazima me nishajitahid vya kutosha lkn bad
2026-08-15 05:00:08
3
fezasaidi398
feza said :
allah atujaliye mwisho mwema
2026-06-25 20:15:38
6
chatterbox6175
Chatterbox :
allah akubalik kw ukumbusho
2026-08-01 18:03:03
1
habshils225gmail.com
Habshils :
Assalaam aleikum, sheikh je mwanamke anaruhusiwa kutoa adhan kwa kila swala wakati ana swali nyumbani?
2026-08-02 18:36:27
0
user6168795112187
Luna girl :
ya rabb tupe mwisho ulio mwema 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-06-25 14:38:58
9
munir_said
2004 :
na sie tunaofumba macho je😁
2026-08-08 09:13:34
2
user9379563401617
najma :
shukran Allah tujalie swal zet
2026-08-07 10:24:27
1
user4shehairankund
cheiha🥰 :
asant
2026-08-02 12:40:13
1
mwange673
Mwange :
Allah sw atuhifadhi
2026-08-10 09:54:06
1
zainabuomary610
Zainabu omary 💞💞 :
Allah atajalie na spoken swala zetu inshaallah
2026-07-29 17:45:52
2
neymasuleymani
[email protected] :
Alllaah akujaliyeeee umri wenyeee khery na weweee uendeleee kutuelimishaaa zaidii ya hapoo
2026-08-07 10:43:05
2
reyyah222.gmailcom
[email protected] :
Allah azihurumie na kizpokea swala zetu inshaallah
2026-08-17 07:42:01
1
zahrakitunda
zahrakitunda :
allah akuhifadh
2026-08-05 19:06:25
1
anisa.omar
anisa omar :
shkran sana hapo kwa haraka haraka bac asili mia kubwa ya waarabu hawa swali Mungu atakabalie swala zetu Amiin
2026-06-26 15:20:29
4
user1149091426600
user1149091426600 :
Asslm alaykum Warahma tullahi wabarakatu Shegh mimi Nina swali naomba kuuliza hua ninapo swali kuna waqti mawazo yananijia na sio mpaka kunifanya nisahau rakaa nilioko ila kwa kiasi na kila ninapo jiwa na mawazo flani hua namlaani sheitwani na kusema AstaghfiruLlah : Swali langu shegh (Yafaa kumlaani Sheitwani na kuomba msamaha ndani ya Swala)
2026-07-13 09:16:47
3
azzathyswalehe
PrincessAzzathy Swalehe :
Allah atuhifadhi
2026-06-26 08:17:24
1
makmekyy2
🇹🇿🇹🇿NINJA🇹🇿🇹🇿 :
mjngu akubarik nimejifunza
2026-08-03 06:29:27
1
raeesa2554
Raeesa :
Allah atujaliye mwisho mwema
2026-06-24 20:33:08
2
monamiki935
Mona Miki :
mashallah
2026-06-25 04:49:35
2
husina1234
husina :
ahxntee kwakutufunza
2026-07-26 00:30:30
1
To see more videos from user @rashidiyasini498, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About