@kkkt_salasala_dmp: "Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe" (Mithali 3:5-6). Kumtegemea mwokozi, Tumwabudu Mungu - 273 #ibadayajumapili #ibadazetu #kkktsalasaladmp #Liturgia #trending
KKKT USHARIKA WA SALASALA
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 19:27:31 GMT
Music
Download
Comments
happness shemkunde :
kumtegemea mwokozi kwangu tamu kabisa
2026-06-26 10:56:32
6
Wizy Dimpoz :
AMEN najivunia kuwa mlutheri Ee MUNGU naomba mume mluther
2026-06-28 18:30:40
2
Denis Davis :
binafsi naipenda sna kkkt
2026-07-23 14:28:11
6
loveness :
nqpenda mnavyitokaga kanisani sio kama wengine akina sisi
2026-07-29 13:25:46
2
obbyobinajob :
Mungu awabariki sana watu wa Mungu
2026-07-07 06:12:04
3
Ade classic wear👖👕🥾👟 :
Kkkt daima🙏🫂
2026-07-24 04:19:55
3
chistowelunalaila :
kkkt forever
2026-07-24 18:39:51
2
hellenkifanyi :
Yesu yesu nakwamini
2026-06-24 21:10:14
5
BIGDADY04 :
apo hawakosi kina doctor msuya, malya, mollel,
2026-07-22 07:02:04
2
user6140533228188 :
amin🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-07-19 12:51:13
1
ester :
najivunia kuwa mlitheri
2026-07-22 11:07:50
5
That's Abraham's :
soon nakuja kua baba padre wenu hapo
2026-07-24 16:30:04
1
Mr Rocky :
Kumtegemea Mwokozi kwangu tamu kabisa
2026-07-20 07:11:30
2
dastanimashina :
yani nikiona mambo ya ibada moyo wangu unakua na amani sana, moyo una barikiwa sana
2026-07-24 10:12:52
0
Jeanh :
niombeen ndugu zangu nimepotea ibabani sana tangu nije dar na mimi mluther wa dayosisi ya meru jimbo la mashariki usharika wa mbaaseny mtaa wa yeriko
2026-07-26 11:47:10
2
damasmoris :
mbarikiwe sana
2026-07-29 08:03:53
0
kuwa makini na matapel :
amen amen amen
2026-06-25 07:20:59
1
user6140533228188 :
amen
2026-07-19 12:50:24
1
mathayo :
mungu awe nanyi
2026-07-11 09:47:35
1
Loveness🦋🇹🇿🇲🇼 :
Ameen
2026-06-25 09:50:56
1
Godbless Aletaramo :
Kwaheri Mchungaji Silvanus Msuya hatuna la zaidi Baba
2026-07-29 12:13:56
2
macky tarimo :
ameen
2026-06-25 23:15:12
2
. :
amen nimebarikiwa
2026-06-28 11:29:38
2
madaamwinnie45 :
❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹Napenda sana kanisa langu jmn... lutheran Tuko na utaratibu mzuri sana ndani ya ibada.. Mungu nipe na mume mlutheri jmn.. napenda
2026-06-28 16:28:16
2
Vicent Fabian :
amen waumini wenzangu
2026-07-07 20:21:02
1
To see more videos from user @kkkt_salasala_dmp, please go to the Tikwm
homepage.