mashia wapo katika upotevu mkubwaaa Sanaa....
allha awaongozes
2026-06-25 10:19:09
6
سليمان هارون🇵🇸🌍 :
Allah awaonyeshe njia ya haki ameen awaongoze
2026-06-25 04:30:39
8
ahsam_breezy :
Allah tuepushe na madhalimu🤲🤲
2026-06-25 08:12:55
4
King of the Jungle :
Sheikh jibu zuri lipo hapa...
Allah anasema...
"Na wanakuuliza kuhusu hedhi. Sema: Hiyo ni adha. Basi jiepusheni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watakapotwaharika. Wakishatwaharika, WAENDEENI KAMA ALIVYOKUAMRISHENI Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanaotubu na anawapenda wanaojitakasa."
Hii ni katika Qur'an, Surah Al-Baqarah aya ya 222 (2:222).
2026-06-25 05:10:31
18
سليمان هارون🇵🇸🌍 :
aaah kupoteza umma huku sasa hawa mashiya😔
2026-06-25 04:30:16
5
Muslim Akili :
kwa hiyo na wew umekuja kuijibu kwa mwezi ila hujajua alikuwa anazungumzia nini??
kwa nini mnapotosha Hali ya kuwa hujafuatilia kuwa Sheikh alikuwa anatoa tafsiri mbalimbali na hapo hakutoa hukumu ya Uhalali
2026-06-25 06:17:08
3
urban hijab modern stylish :
Wallah awa watu tuwaombee dua Allah awaongoze
2026-06-24 22:16:44
4
njamaS proper :
haya kwenye pua na maskio na huko una vuna nini?
2026-06-25 05:50:48
0
Maalim kinje :
INA LILLAH WAINA HILEIH RAJIUN
Uyu Jalala Co Mzima WALLAH
2026-06-25 14:30:59
0
Abuu_Muhammed :
washenzi kabsa
2026-06-26 07:52:37
0
Asya Ali512 :
ASTAGHFIRUALLAH Allah atuongoze tujue ukweli.
2026-06-25 09:17:20
0
Salum Mwanga :
huu mlio akati c tunasikiliza hoja ni wa kazi gan?
2026-06-25 10:06:20
0
HAMZA KHALID :
Astaghfirullah
2026-06-26 01:12:08
0
Really good good thanks 😊 :
mmm kichwan unafata nn
2026-06-25 06:47:07
0
yussufmolu :
🥰🥰🥰
2026-06-25 06:17:38
0
user4613768005662 :
🥺🥺🥺
2026-06-25 06:19:22
0
To see more videos from user @raha_haqi, please go to the Tikwm
homepage.