@dr_najm: Hizi ni faida za viambato uji: ✅ Mchele – Chanzo kizuri cha nguvu (carbohydrates), husaidia kuongeza kalori kwa wanaotaka kuongeza uzito. ✅ Almonds – Zina mafuta mazuri, protini na vitamin E kwa afya ya ngozi na mwili. ✅ Mbegu za maboga – Zina protini, magnesium, zinc na mafuta mazuri yanayosaidia afya ya mwili kwa wanawake na wanaume. ✅ Njugu mawe na karanga – Chanzo kizuri cha protini, mafuta mazuri na kalori zinazosaidia kujenga mwili. ✅ Maziwa – Protini, calcium na virutubisho vya kujenga misuli na mifupa. ✅ Ngano – Hutoa nguvu, nyuzinyuzi (fiber) na virutubisho mbalimbali. ✅ Oats – Husaidia kushiba kwa muda mrefu, hutoa nguvu taratibu na kusaidia afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. 👉 Uji huu unaweza kutumiwa na wanaume na wanawake, hasa wanaofanya mazoezi, wanaotaka kuongeza uzito kwa afya au wanaohitaji mlo wenye virutubisho vingi.#fyp #weightgain #healthylifestyle #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

dr Nájm ||
dr Nájm ||
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 20:06:34 GMT
144093
3493
316
307

Music

Download

Comments

mamu.unique
Mamu ❤️ :
Ngoja nikasage 😂
2026-08-03 09:47:44
0
madame.d.glow
Debora Itegana :
je kwa aliiejifungua inafaaa???
2026-08-05 17:40:43
0
ilham.makenzi4
ILHAM makenzi💞 :
Apo kitambi haikuji
2026-06-25 21:30:25
6
minaa6137
🌸Minaa🌸🥀 :
Nipo mkuyuni apa nyota driving school niletee kesho
2026-08-05 14:44:33
0
user5881263000982
OFFICIAL :
kwa mtoto wa miez 6 unafaa?
2026-08-02 21:19:28
0
user4879638163950
getruda :
tuma namba yako tuwasilian tujue tunaupataje
2026-08-04 00:36:49
0
roseezekiel725
rose ezekiely :
napate niko Arusha nimpe mtot wangu jmn anone hata😆
2026-07-15 09:42:55
0
anitha.laizer79
Anitha Laizer :
Npo mwanza mkolani nakupata wapi
2026-06-26 20:20:30
0
thomas.julius49
Thomas Julius :
mwanza mpo wap
2026-06-27 07:25:37
0
salmahchanyoya
salmahchanyoya :
napataje
2026-07-03 07:04:01
0
saylic3
sayloo💓 :
@sayloo💓:nina maswali mengi jmn adi jau ,,ukiandaa hvyo vyote ngano ,njugu etc unavikanga / kubabua kidg kwenye moto au unaosha kuanika na kwenda kusaga ?? na hyo ots baada ya kusaga hzo mbegu unachanganya na huo unga wa ots maana c n unga tayari au hizo n ots nzima ?
2026-07-25 19:01:26
0
prisca4553
Official p 💁💁 :
Mkoani mnatum
2026-07-15 11:05:21
0
aiem.naa38
Da naa💸 :
dar huna wakala?
2026-07-16 09:04:36
0
user91655827560682
user91655827560682 :
nipo mwanza nahitaji kipenzi
2026-07-07 10:49:59
0
user3141971636334
rose..🧸🧸 :
ntumie no
2026-07-07 12:30:05
0
winno951
winno :
Mm nipo mosh naweza kupata?
2026-07-07 15:00:27
0
cutehappy2981
Happy thom💦 :
nipo katoro nahitaji napataje
2026-07-01 16:13:09
0
usertjqrbq3w5v
user88974421447 :
nipo mwanza sengerema napataje dear
2026-07-01 14:21:43
0
cutejajo
JaJo ❤️❣️ :
watoto wanatumia mfano 8months bby
2026-06-25 18:24:52
0
yadah.gasper
Yadah Gasper :
mwanza sehemu gani
2026-06-26 16:23:39
0
mamu_math
mamu💕 :
bei gn
2026-06-26 22:04:36
0
magret.denise7
Magret Denise :
madam naomba kofia
2026-06-28 15:17:16
0
user8007352388363
michaela :
nisaidie namba nahitaji unga nipo mwanza
2026-06-28 14:38:21
2
faith.b.john
faith🌹 :
bei gan
2026-06-26 19:41:56
0
vumiliasanga851
Vanesa sanga :
upo dar sehemu gani
2026-06-26 10:53:52
1
To see more videos from user @dr_najm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About