@axismedia_tz: ⌨️ Tunatumia keyboard kila siku, lakini wengi hawajui kwa nini haijaanza na ABCD. Jibu lake linatoka kwenye mashine za kuandikia za zaidi ya miaka 150 iliyopita! 🤯 Je, ulijua jambo hili? #DidYouKnow #Technology #Keyboard #QWERTY #creatorsearchinsights