@kwarotv: Hii ngoma inahitaji Tuzo kabisa au mnasemaje ndugu zangu? #taarifanaburudani

KWARO TV
KWARO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 21:19:58 GMT
109923
6890
87
73

Music

Download

Comments

girrafe323
☘️Giraffe ☘️ :
Marehemu wenzangu watarajiwa nawapenda tusali sana saweniiiiii 😌😌
2026-06-25 19:32:52
121
hajruu_024
hajruu_024 :
Foot 6 utazamaaah sisi wote wa rabbana🥹🥹
2026-06-25 13:05:59
32
vagabright
Brightofficial :
Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi wapendwa wetu wote walio tangulia mbele za aki 😔
2026-06-25 18:28:05
35
chichycute
chichy cute🦋🌸 :
dada mwenye kofiakaimba kwa hisia san🥰
2026-06-26 09:24:01
3
lucyalex32
Miss__LUCY 💍😍 :
Mungu azipokee roho zote za wapendwa wetu kwa Amani 😭🙏
2026-06-25 19:06:05
18
tipherner7
Tipherner❤️❤️ :
Hakik
2026-06-25 06:19:21
10
mamier.ansary
mamier ansary :
nishamkumbuka bibi yangu ndo msiba wangu wa kwnza kwenye familia mungu amuondolee mchango wa macho bibi yangu inauma
2026-06-25 12:04:06
12
iamludamila62
Damian Kapela :
halafu hapewi heshima kabisa yani
2026-06-26 06:55:01
4
wakuachwa4
wakuachwa :
sio tuzo tu ajengewe sanam j
2026-06-26 05:32:16
3
shakazulu9611
SHAKAZULU :
huyu bwan anajua san god ambless
2026-06-25 10:07:38
10
luqmanseif6
luqman seif :
unaijua kamanda ww
2026-06-26 14:17:55
1
michaelmnzava
GENUINE (G) :
sio wimbo Sema "nyimbo" kwa kuwa ni zaidi ya moja.Tunatumia neno wimbo kama ni umoja kwa maana ya wimbo mmoja.
2026-06-25 14:43:22
7
dopianomamy
DOPIANO❤❤MAMY :
Aminthuma amin ishallah
2026-06-26 13:02:01
1
user768556609249
pendo soph :
eemungu tujariemwisho mwema@
2026-06-26 08:41:20
1
bby.zuu84
𝒷𝒷𝓎 𝓏𝓊𝓊🌹✅ :
😭😭😭 ALLH ATUJALIE MWISHO MWEMA MM NA WEY UNASOMA COMENT HII
2026-06-25 18:32:35
4
official.idea01
Official Idea 🦅 :
dj nae apewe ulinzi kwa hili beat
2026-06-25 12:57:34
4
johary7289
johary :
j combaty 🥰🥰🥰🥰
2026-06-25 09:55:30
6
fathia.saed
Fathia Saed :
sana
2026-06-25 20:00:08
1
vidomwanatz0
Mr FrEdY 🌍🌍🌍 :
🙏🙏🙏Afya bora utunze ujana 🙏🙏🙏🙏 kuna muda nikisikia hii nyimbo nawakumbuka wengi sana hasa wa October
2026-06-25 20:07:16
3
stellapaschal468
Stella Paschal :
kweli bwana
2026-06-25 09:02:25
2
navigator.chindul
Navigator Chinduli :
mkali
2026-06-24 21:52:13
2
salamambwani0
salamambwani0 :
ee mwenyez mung ilaze roho ya mzee wangu mzee mbwani mahali pema peponi😭😭😭🙏🙏
2026-06-25 20:08:36
3
dalalidullykigamboni
dalali dully kigamboni :
Siyo kwenye singeli sema ni best ever bro kaa sikiliza vzur
2026-06-25 20:44:43
2
user1909033587457
masumbuko :
👍👍👍👍
2026-06-25 12:13:30
1
To see more videos from user @kwarotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About