@iamofficialjoshua0: Tume sikia mbingu Yesu lo! Aponya #iamjoshua #GospelTikTok #swahiliworship #tenzizarohoni #tenzi

I am Joshua💎
I am Joshua💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 02:00:00 GMT
50113
4188
247
171

Music

Download

Comments

jackiline253
jackiline :
Tumeimba wote Mungu akibariki san🙏
2026-06-26 10:24:05
8
violetmmasi
violetmmasi :
Hii sauti imepenya kwa masikio yangu kama ya Malaika mkuu sauti hii tumia kuponya watu 🙏🙏🙏
2026-06-25 18:48:43
15
vicentmbija
💞💞💞 :
me nan nkunyime like
2026-06-25 17:01:38
4
chugaa.under.15
chugaa under 15 :
Amina ...kaka unae kipaji
2026-06-28 10:32:20
2
beritawekesa
ritah wekesa :
nice voice keep going broo
2026-06-27 09:22:06
1
sophia66878
Sophia :
mungu akupe nguvu yakumwimbia siku zote
2026-06-29 08:58:22
3
neema.mtindojakson
Neema jakson mtindo :
🙏wewe yesu unaponya
2026-06-25 19:13:20
1
loyce7680
Loyce :
ambao tumeimba pia Mungu awabariki na nawapendaaa pia🥰🥰🥰♥️
2026-06-28 08:09:58
5
christinamfanga
Christina Mfanga :
Hallelujah hallelujah 🙏
2026-06-25 11:43:09
1
user2435325303946
user2435325303946 :
barikiwa sanaa kaka ... nimebarikiwa sana na huu uimbaji ... ufike mbali kwaajili ya utukufu wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
2026-06-26 04:13:15
5
user98686368853421lady
lady sound :
uuuuwiiii jamani we kaka nilikumiss jamani nimefurah kukuona mungu akubarki sana "nifanyie mwamba wenye imara"
2026-06-27 07:28:25
1
user6107749722306
Twin,D :
hongera sanaaaaa Mungu azid kubarik kipaji chako ,🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-25 11:11:24
1
naomiayubu426
[email protected] :
barikiwa na bwana
2026-06-25 08:08:04
1
happy.ness.lyamuy
mama ELISHA :
wimbo umenikosha barikiwa sana
2026-06-26 15:20:00
2
kabula.makalanga
Kabula Makalanga :
barikiwa mtumishi napenda sana
2026-06-25 21:09:44
1
zulumeo
Sophia :
barikiwa sana
2026-06-25 17:27:02
0
user3087724281596
joycerichard :
Oooh!!! Sauti ya kifalmeeee balikiwa sana kaka. Eeeee mungu tumia sana huyu mwanao kwa kaz yakoooo amen
2026-06-25 16:54:33
1
happy.ness.lyamuy
mama ELISHA :
yesuloo aponya amen🙏
2026-06-26 15:19:27
2
user4877544707585
maryonce baby :
Ameen Mungu akubariki sana kwa hudum yako
2026-06-25 11:41:56
1
farajafarajafaraj
Farajafaraja Faraja :
ubarikiwe bri
2026-06-25 19:14:54
2
kissakibona58
Kissa Kibona :
Mungu akubariki. umenifanya nami niimbe mtumishi asante.
2026-06-26 09:45:26
0
user2361112697919
user2361112697919 :
haleluyaa ,adinimeimba namimi,
2026-06-25 19:40:53
1
nessly47
nessly :
Barikiwa sana Mtumishi wa bwana kupitia wimbo huu nimepata tumaini Jipya la maisha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-06-28 07:23:51
2
sophiasamwi
mom❣️❣️❣️❣️ :
Mungu akubariki kaka hakika
2026-06-25 19:46:16
1
neema.wiston
NEEMA WISTON :
Amina
2026-06-25 20:01:45
1
To see more videos from user @iamofficialjoshua0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About