@_77_chocolate: Me and My Husband Chatting a Few Minutes Before Getting Married @eshergifty @mimah apple ❤️ #fypシ゚

~Chocolate~
~Chocolate~
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 22:54:05 GMT
63704
1865
173
544

Music

Download

Comments

najmah..3
official naa. qt😘🤲🇹🇿🇶🇦 :
Anaeamini ipo siku itakuw kama hvi yeye na ampendae like hapa😰🤲
2026-06-25 05:58:46
322
cute_girl8153
Cute_girl🥰 :
Mashaallah me yangu ingekuwa tu 2027 lkn Allah akamchukuwa mja wake kipenzii 😔😭
2026-06-25 05:39:51
90
kayys_tok
Kayy🤍 :
This is so nice wallah 🥰🥰 mabrooq habibty
2026-06-25 18:53:31
1
junayna91
🔐🕊جنينا💍❤️ :
Ndoto yakila mwanamke Yaa Allah nipe kama huyu tu 🤲🥹
2026-06-24 23:43:55
93
fey3607
fey :
ukisikia mapenzi yana wenyewe ndio hawa sasa , sisi wengine tuendelee na kilimo cha umwagiliaji 😭😁😳
2026-06-25 17:45:41
11
user8176270599181
ram🥰 :
Allah atujalie sote tus na waume ..tupate waume weny kher barka na mapenzi ya dhati 🥹🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-06-25 10:50:21
23
allysontz95
Ally Ibrahim :
:Najua Kuna kadad kamejilaza kitandani peke yake kazi ni kuscroll tu😂Hi Kamama 🥹🫂 can we be friends 🥰bff
2026-06-25 16:50:26
9
veey.money
Veey money :
siku nitumiwe sms za ivi nitakaa chini kwanza nilie 😔😔😔😔
2026-06-25 15:23:45
12
bongeladada37
mom trinity2023 :
asanten sana kwakunifanya nijione yatima wa mapenzi🥹😒
2026-06-25 17:07:45
5
syfire
syfire💥💫❤ :
fresh mwenety🥺
2026-06-25 14:00:27
1
mamug..com
mamug. com :
wengine furaha yetu ni mahusiano mazuri ya watu wenginee😳
2026-06-25 18:12:46
2
bint.ommy3
Bint Ommy🦋 :
Yaarab niunganishe na hii baraka Inshaallah 🤲🤲
2026-06-25 07:06:11
12
fj56556
F&J :
naamin ipo siku kwa uwezo wa Mwenyez Mungu haki siwez kata tamaaa
2026-06-25 18:02:06
1
muzdalfahibrahim
muzdalfah💕 :
nimefurahi wallah Allah awajaalie masikilizano na Mimi Allah anijaalie mwanaume mwenye mapenzi na Mimi inshaallah
2026-06-25 17:18:53
3
sameyermfaume
Sameyer Mfaume😘 :
Mwanetu😂😂 nipunguzie nyota yako 🥰
2026-06-25 06:09:13
13
natai_makeup
natai_makeup :
May Allah protect you from my jealousy😩🥰❤️
2026-06-25 07:01:29
7
mayahushi2
🦋Mrs Kassim🦋💍❤️💍 :
InshaAllah one day Yes🤲🤲🤲 biidhiniLah
2026-06-25 15:57:31
3
miss.zuuh5
Miss zuuh :
6yrs🥺congrats🥰
2026-06-25 07:04:31
2
tunda700
TUNDA🍎🍏 :
Najiungamanisha na hii BARAKA inshAllah!🤲🥹
2026-06-25 16:28:25
3
wtty28
MI✨VIDA :
kwanin nalia mim sas🥹🤗 au kwa kua hakuna wa kuniambia hivyo😭😭😭😭
2026-06-25 18:58:00
2
zaitun.kichika
Zaitun Kichika :
Mnawapataga wap🥺😂😂😂
2026-06-25 14:49:07
3
mrs.some10
Mrs.Some1 :
Mashaallah
2026-06-25 15:29:20
1
To see more videos from user @_77_chocolate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About