@violet_3000:

violet
violet
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 25 June 2026 04:29:22 GMT
95
2
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @violet_3000, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kisa hiki kilianza pale Adam alipopanga kuwaozesha mapacha wake kwa kubadilishana ili kizazi kiendelee.  Dada wa Qabil aliyekuwa amezaliwa naye alikuwa mzuri zaidi kuliko dada wa Habil, jambo lililomfanya Qabil ajazwe na wivu na kutaka kumuoa yeye mwenyewe. Ili kumaliza mgogoro huo, Allah alimwongoza Adam kuwaamuru wawili hao watoe sadaka. Atakayekubaliwa sadaka yake ndiye angekuwa kwenye haki. Qabil, aliyekuwa mkulima, alitoa sehemu ya mazao yake. Habil, aliyekuwa mchungaji, alitoa mnyama mnono bora kabisa.  Walipoweka sadaka zao, moto kutoka mbinguni ukashuka na kuiteketeza sadaka ya Habil, huku ya Qabil ikibaki. Hapo Qabil alijaa hasira na akamuambia ndugu yake kuwa atamuua.  Lakini Habil akamjibu kwa utulivu, akamkumbusha kuwa Allah hupokea kutoka kwa wachamungu, na hata akitaka kumuua, yeye hatamdhuru. Lakini wivu ulimtawala Qabil.  Siku moja alipomkuta Habil amelala karibu na malisho yake, akamuua.  Hilo likawa jinai ya kwanza kabisa duniani. Baada ya kumuua, Qabil hakujua afanye nini na mwili wa ndugu yake.  Akambeba kwa muda mrefu mpaka Allah akatuma kunguru wawili; mmoja akamuua mwenzake, kisha akachimba ardhi na kumzika.  Hapo Qabil akajifunza namna ya kumzika ndugu yake na akajuta. Kisa hiki kimetajwa katika Qur'an. ☪️Mafunzo kutoka katika kisa hiki: ✍️Ukweli wa Qur’an na ujumbe wa Mtume Muhammad (s.a.w). ✍️Allah hupokea amali kwa ikhlasi na uchamungu. ✍️Kheri na shari zimekuwepo tangu mwanzo wa mwanadamu. ✍️Husuda na wivu ni sifa mbaya zinazopofusha moyo. ✍️Majuto baada ya dhambi hayatoshi bila toba ya kweli. naomba unifollow

About