@victor_mwambene: Kama Upo Dodoma au Mikoa ya Jirani Karibu J’mosi hii kwenye Mafunzo ya Biashara na Uwekezaji katika Ukumbi wa Dodoma Hotel, Mimi Nitafundisha Uwekezaji Bora Tanzania, Uwekezaji katika Hisa, Hatifungani na Uwekezaji wa Vipande kama Utt Amis, Faida Fund na Inuka Fund. . Gharama ya Mafunzo kwa siku nzima ni 30,000 na VIP ni 50,000. Karibu wahi Nafasi kabla hazijajaa. . Kwa Mawasiliano zaidi Piga - 0756 281 556 . @moneytalk_tz . @level_upforum